DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

Lisemwalo ....duh, jamaa alishindwa kukimbia wakati yuko single sasa anaamua wakati kuna bibie na kadogo!
Je, hii yaweza kuwa dalaili ya ugumu wa mambo maana kikombe cha akina Lema, Lijuakali, Mathew nk kisikie tu!
 
Kwakweli mimi leo nimeshangaa sana kusikia yule kidume mpiga kelele anayepinga mafisadi na anayepinga ufisad uchwara kukimbia nchi yake

Kipi kimekukimbiza ndugu zito una kosa gan au unafuta kiki baada ya kukosa hoja

Kama kweli wewe ni mwanaume zito simama usikimbie unamuogopa nan nyie ndo mnatuambia sisi wananchi tuandamane wakati nyie mnakimbia hovyo hovyo tu tumechoka na nyie wanasiasa uchwara
 
Siasa zako My Zito hazijajengwa juu ya msingi imara,rejea mafundisho ya Yesu,ukijenga nyumba juu ya mchanga itachukuliwa na pepo au mafuriko.

Taarifa zinasema eti umetorokea nchi jirani,sioni mantiki kwa nini utoroke nchi,kama kweli wewe ni mtanzania na umezaliwa hapa sioni sababu ya kutoroka.

Nikikumbuka jinsi ulivyovuruga chama kilichokule Chadema kwa siasa zako zilizojaa tamaa na unafiki napata picha wewe in MTU was namna gani.

Siasa zako ni zile za kutafuta umaarufu na madaraka,nikijaribu kuangalia background yako hainishawishi kukuita mwanasiasa aliyekomaa.

Sijawahi kufanya kazi na wewe lakini nahisi waliofanya kazi na wewe umewapa shida sana.

Point unazojaribu kujenga kuhusu utawala sidhani kama zitakusaidia,nia na madhumuni yako ni kujijenga kisiasa kwa sababu uliharibu huko nyuma,tamaa ya madaraka na uchu unakusumbua sana Zito,siasa zako ni nyepesi sana sana,achana na kusumbuana na serikali ya Magufuli nafikiri hutaiweza,wanasiasa tumeamua kukaa pembeni sio kwa kupenda ila kutokana na hali halisi.

Utapotea moja kwa moja kama Dr SLA au utarudi? Tuachieni nchi yetu tumechoka na wanasiasa kama nyie
 
Asimame aoneshe ye kidume? we uliambiwa anafanya siasa za kuonesha nani kidume?
 
Kwakweli mimi leo nimeshangaa sana kusikia yule kidume mpiga kelele anayepinga mafisadi na anayepinga ufisad uchwara kukimbia nchi yake

Kipi kimekukimbiza ndugu zito una kosa gan au unafuta kiki baada ya kukosa hoja

Kama kweli wewe ni mwanaume zito simama usikimbie unamuogopa nan nyie ndo mnatuambia sisi wananchi tuandamane wakati nyie mnakimbia hovyo hovyo tu tumechoka na nyie wanasiasa uchwara
Nanyupu, Kama kweli wewe mwanaume ruhusu vyama vifanye mikutano, ruhusu tume huru ya uchaguzi, ruhusu katiba ya warioba tuone kama utasimama!
 
Back
Top Bottom