Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Update
Tuampdate Tafadhali wengine hatuna redio hapa tulipo mkuu
Tuampdate Tafadhali wengine hatuna redio hapa tulipo mkuu
nini sababu ya kukimbia kwakeDw wanasema kuwa wana tetesi kuwa zitto kabwe ametorokea nchi jirani kuhofia kukamatwa
Chanzo:: Dw habari
Wewe ni mwinyi mpekuziUpdate
Hatishiwi ila katishika na kasi na utendaji wa comredy magufulii..Anajificha ili iwaje? Kwani anatishwa?
Twambie yupo wapi coz na mimi namutafuta nina shida naye ya kifamiliaUzushi huu