Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Akili za kuambiwa changanya na za kwakoKwakweli mimi leo nimeshangaa sana kusikia yule kidume mpiga kelele anayepinga mafisadi na anayepinga ufisad uchwara kukimbia nchi yake
Kipi kimekukimbiza ndugu zito una kosa gan au unafuta kiki baada ya kukosa hoja
Kama kweli wewe ni mwanaume zito simama usikimbie unamuogopa nan nyie ndo mnatuambia sisi wananchi tuandamane wakati nyie mnakimbia hovyo hovyo tu tumechoka na nyie wanasiasa uchwara
Usiwasikilize wanasiasa mkuu
Wengi wapo kwa maslahi yao