Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

as long as mlikuwa mshafanya rehersal basi kuna kitu hapo si bure!!!! either katumia dawa au kuna mkono wa mtu waombe wazazi wako ufikirie kwanza kama wiki moja huku ukitafuta suluhisho naamini king wa ushauri boss atakuja a mawazo mazuri ya kukushauri!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii haichekeshi lakini imenibidi nicheke, anyway pole sana dada!

Kwa mtazamo wangu nafikiri ni busara kabisa kuweka tatizo hili wazi kabla hamjaingia kwenye commitment kubwa kama ndoa. Sasa kwa kuwa umemuuliza na yeye amekiri kwamba ni kweli mambo hayako sawa na yeye pia hajui tatizo, ni bora mkawaona wataalam wa afya ili waweze kuwapa majibu ya kitaalamu yanayoeleweka ambayo ndiyo yatakayowapa mustakabali wa kuendelea kwa ndoa yenu ama la.

Naamini mapenzi hasa tendo la ndoa ni furaha sasa linapogeuka kuwa karaha sidhani kama ni kitu cha kukaa nacho kimya. Kabla ya wazazi hawajakuuliza sababu hasa ya wewe ku hold back, mshauri mwenza wako mkaonane na madaktari ili kuona kama kuna ufumbuzi wa tatizo lake, isije kuwa unajifanya unavumilia mara kitu kikatokea mdomoni siku moja bure.

Ni hayo tu dada Grace Komba, pole though

MANENO YA BUSARA HAYO, Hata Nashangaa Mpaka Sasa Kwanini Hatujagusia Suala La Kwenda Hospital... NGOJA NIMSHAURI TWENDE.
 
Last edited by a moderator:
hii ngumu kumesa-lakini hizo dada usihofu ni neema hiyo imekudondekea,kumbuka Mwenyezi akikunyima hili anakupa lile ,wapo wanawake wenzio mume zao wanavibamia lakini wamejaliwa vingine ambavyo wewe huna so go on olewa
 
Mama, huyo ni mwanaume ambaye Mwenyezi akijaalia ndio mtazeeka pamoja, sio suala la kujaribisha, ni bora ukasolve kabla ya kusimama mbele ya mchungaji/shekhe, ongea na mama/mtu ambaye anajukumu la mama kwako kuhusu hilo tatizo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
as long as mlikuwa mshafanya rehersal basi kuna kitu hapo si bure!!!! either katumia dawa au kuna mkono wa mtu waombe wazazi wako ufikirie kwanza kama wiki moja huku ukitafuta suluhisho naamini king wa ushauri boss atakuja a mawazo mazuri ya kukushauri!!!

Sawa... Tuwasubiri Magwiji Wa Ushauri Waje Kunifumbua Macho
 
Last edited by a moderator:
mlongo wamngu pooole kamwali!
mwenyee kadoda huyo atumii niini wengo?
ingekuwa ni ukubwa tu wa kimaumbile like kuwa umemkuta tu yuko hivyo ningekushauri vinginevyo mdogo wangu
ila midhali anazidi kukua kila baada ya muda na mwenywe amekiri kabisa kuwa hata haelewi tatzio ni nini hapa huna namna nyingne!

nenda kwa shangazi umwambi tatizo!
maana hata kutoa jibu la hiyo posa ni yeye ndiye atakayepeleka kwa baba yako si wewe!
so nenda kwa shangazi yako kaa nae chini umwambie tatizo na maamuzi yako juu ya posa hiyo!
 
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..

Naomba tu nicheke maana kumbe tatizo liko serious hivyo hadi kila mwezi unafanya vipimo,kwa nini msimwone daktari?maana huo ukuaji hadi mwakani sijui litakuwa limefikia wapi
 
mwambie pia akutayarishe vya kutosha...huwaga inauma siku za mwanzo...ila yeye sio mind reader mwelezee ukishikwa wapi unagenyeka na km unampenda unatamani awe baba watoto wako,weka haya mawazo ya kumuacha pembeni,unasema yuko frustrated sio kwa dudu kuwa kubwa but FEAR OF LOOSING YOU,,,,cha kufanya usimnag kuwa haijaingia vizuri/hajakufanya ipasavyo .......mpe sifa za uongo ,mkifanya mara nyingi nani yako itazoea inapita mtoto ndio itakuwa dushelele.......
 
hii ngumu kumesa-lakini hizo dada usihofu ni neema hiyo imekudondekea,kumbuka Mwenyezi akikunyima hili anakupa lile ,wapo wanawake wenzio mume zao wanavibamia lakini wamejaliwa vingine ambavyo wewe huna so go on olewa

Umenifikiria Kweli?? Hivi Ndoa Si Ni Kitu Cha Maisha Yote??
Mmhhh...
 
Naomba tu nicheke maana kumbe tatizo liko serious hivyo hadi kila mwezi unafanya vipimo,kwa nini msimwone daktari?maana huo ukuaji hadi mwakani sijui litakuwa limefikia wapi
kwa style hiyo hapo kweli barua ya maombi lazima iwe pending wallhi hata wazazi wake wakisikia habari hii watamuonea huruma mwanae!!!
 
Mama, huyo ni mwanaume ambaye Mwenyezi akijaalia ndio mtazeeka pamoja, sio suala la kujaribisha, ni bora ukasolve kabla ya kusimama mbele ya mchungaji/shekhe, ongea na mama/mtu ambaye anajukumu la mama kwako kuhusu hilo tatizo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Natamani Kufanya Hivyo, NA NITAFANYA HIVYO
 
leo nimejua sio kila anayelia siku ya ndoa analia machozi ya furaha ya kuolewa wengine wana mengi moyoni!!
 
Eeeeh!!!!calculate forecasted length and Diameter after 10yrs of marriage???KIMBIA HARAKA!!!!yaani papuchi itakuwa kama nini sijui,itabidi iongezewe upana na urefu looooh!!!!
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..
 
mlongo wamngu pooole kamwali!
mwenyee kadoda huyo atumii niini wengo?
ingekuwa ni ukubwa tu wa kimaumbile like kuwa umemkuta tu yuko hivyo ningekushauri vinginevyo mdogo wangu
ila midhali anazidi kukua kila baada ya muda na mwenywe amekiri kabisa kuwa hata haelewi tatzio ni nini hapa huna namna nyingne!

nenda kwa shangazi umwambi tatizo!
maana hata kutoa jibu la hiyo posa ni yeye ndiye atakayepeleka kwa baba yako si wewe!
so nenda kwa shangazi yako kaa nae chini umwambie tatizo na maamuzi yako juu ya posa hiyo!

Kama Uliingia Kichwani Mwangu Vile, Wiki Ijayo Naenda Songea, Ndio Kwa Mashangazi Zangu Walipo.
 
Dushelele haliwezikuongezeka kiasi hicho labda angekuwa ndo anaanza mapenzi km ndo unaanza huwa linaweza likanenepa au kurefuka lkn likishazoea linabaki constant! Ni wazi kabisa hilo ongezeko atakuwa katumia dawa!
 
mmnh ndoa unaitaka...

dushelele unalitaka...

amua moja,you cant eat your cake and have it...

naona pia ushadecide kutoka nje shaurilo magonjwa mengi

ndio umpate mny dushelele poa,muooane afu baadae apate kisukari example akapooza nani yake...utamkimbia?
 
Mambo ya ushirikina hayo ,inaonesha huyo jamaa amempiga chini mwanamke wa zamani,au ana jini mahaba ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom