Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Mwaya mueleze hofu yako, na mtafute ufumbuzi mapema. Pengine ni ugonjwa na unaweza kutibika.
Au usikute nanihii yako na wewe inapungua...
Haya wengine wanalilia kubwa wengine wanakimbia!
 
Mungu akusaidie, nenda kwa wataalamu wa afya kabla ya maamuzi .
 
Bora ukatae mapema tu, mambo ya kwenda kulala na kijinsi+sweta ktk ndoa ili mradi usitoe mechi hakuna mwanaume atakaeweza vumilia.
 
Niwajibu Nini Wazazi Wangu, Maana Wanashangaa Kwanini Sitoi Jibu,
NISAIDIE

Kichwa cha mtoto huwa kinapita comfortably sehemu hiyo na HAMNA dushelele duniani ambalo rungu lake linakaribiana ukubwa na kichwa cha mtoto!

Tatizo huwa hamfanyi maandalizi ya kutosha;mwambie jamaa awe analamba vya kutosha na kila angle toka kwenye mashavu hadi ndanii!!

Akifanya hivyo uta enjoy ndoa yako na utajilaumu why hukugundua haya mapema!

Good luck!
 


Dr MziziMkavu akifanya utafiti kuhusu ukuaji wa dushelele AKA dudu usio wa kawaida. Wakati akifanya utafiti huo kwa macho aliona dushelele likiendelea kukua kwa urefu na upana pia...huu uzi nimecheka sana lol! 🙂🙂

On a serious note huhitaji ushauri wa Mashangazi, mama yake shangazi au bibi yake na shangazi. Wazazi wa kibongo wanajulikana jinsi wanavyopenda harusi, hivyo watakwambia utalizoea tu dushelele na maumivu siku za usoni hayatakuwepo tena itakuwa ni utamu tu kila leo kitu ambacho si cha kweli hasa ukitilia maanani dudu bado linakua kila mwezi tangu ulipolipima mara ya kwanza June, 2013. Wanaweza kukwambia pia uwe unachemsha maji ya chumvi na kujikanda kila baada ya shughuli nzito.

Niliwahi kusoma katika web site moja (jina kapuni) mdada alikuwa akiomba msaada wa kusaidiwa mume wake. Mdada alidai kwamba yeye amejaaliwa the perfect husband wanapendana sana, mume anamjali na kumthamini sana yeye wazazi wake, ndugu, jamaa na marafiki. Ana kazi nzuri na mshahara mnono tatizo ni kwamba mume anapenda sana puchipuchi na bibie haweze kuvulimia shughuli za jamaa maana hajawahi kuona dudu kubwa kama la mumewe. Hivyo alikuwa anaomba kama kuna kina dada wataweza kumridhisha mumewe na yeye yuko tayari kuwalipa pesa kila watakapokuwa wanamridhisha mumewe. Watu walianza maswali ya nguoni na mengine ya kejeli na yule dada hakurudi tena.

Sidhani kama unataka ndoa ya kumruhusu mumeo akapate haki yake ndani ya ndoa nje ya ndoa kwa kuogopa maumivu makali sana yanayosababishwa na hali aliyonayo. Mume mtarajiwa ndiyo huyooo, nawe unampenda sana na ndoa unaitaka sana. Je, uko tayari kuyavumilia maumivu uyapatayo katika shughuli za wapendanao!? Hujui kukua kwa dushelele kutaendelea mpaka lini. Tafuta nafasi September upime tena (sijui huwa unapima ikiwa imelala au imesimama mhhhhh!) ukiona bado inakuwa tena basi ni bora tu usepe haraka sana, vinginevyo waambie wazazi warudishe majibu kwamba kishika uchumba kimekubaliwa ili pande zote mbili waanze maandalizi ya taratibu za harusi. Kila la heri na nakuomba maamuzi utakayofikia basi urudi hapa jamvini kutufahamisha maamuzi yako. Pole sana na kila la heri katika maamuzi yako.


 
Mama kataa kuolewa... Sex ni ndoa... It will cost you, namna ya kuwajibu just think maana ni wazazi wako the bottom line ndoa haifai hapo.... Litakuwa limekunywa midawa kutojiamini!


 
Pole aise,kama utakosa tiba ya kumaliza tatizo la ukuaji huo ni bora ukaachana nae,Ukijifanya Kukomaa atakuharibu Kizazi bure



Ni Moja Ya Hofu Yangu, Nasikia Mitwangio Mikubwa Huweza Kuharibu Kizazi...
 



Amesisitiza Kuwa, Hakuwahi Kutumia Dawa Yoyote...
 



Nimekusoma Vyema...
 
Kweli upele humpata asie na kucha.
Wengine twayalilia angalau tupate makubwa, wengine huyakataa.



Mimi Siogopi Ukubwa Wa Dushelele Lake... Kinacho nitatiza ni UKUAJI WAKE... Je, Mwisho Wake itakuwa nini??

LAITI kama lingekuwa halikui, mbona ningeserebuka nalo hivyo hivyo...
 
Kiukweli, ukubwa wa dushelele ni tatizo kwa mwanamke. Ikiwa kubwa sana inaumiza. Unaweza kuolewa na kuwa mvulivu wa maumivu na ukita kuenjoy, unamwambia asitumie dushelele



Kwahiyo Tutaishi kwa style ya NO Kwichikwichi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…