Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Well, though I guess you aren't serious...could you mention one significant shift that would make you assert anything like that? If anything his presidency has revealed who he really is inside and to expect change at 80 is but a pipe dream.(A) My view ni kwamba Trump anaonyesha significant shift kutoka kwenye election mode kwenda kwenye kuongoza.
Hapana, mwanzoni ni kama vile he had a free reign and it is the media that let him get away with almost anything he did or said however ridiculous and absurd. Actually it can be said that it is the media that emboldened him by overlooking his shortcomings...maybe this was in the hope that he would change but then, to their dismay, Donald remained Donald. What we are witnessing now is the real Donald, the one we were warned about by a few who really knew him.Mwanzoni ilikuwa worse kuliko hivi sasa, ingawa bado anaendekeza elements za kampeni which is not good.
Hang on, dont jump the gun...huo ushahidi ulitaka utolewe wapi na nani? Kwa kuwa sasa tunaye special counsel, why dont you just sit back and watch (or listen) to what's likely to develop? Kumbuka Republicans controlled almost every thing na ingekuwa ajabu ilioje binadamu kukubali haraka haraka kukata tawi alilokalia!Lakini hili suala la 'Russian collusion' linahusiana na uchaguzi, na lilianza katika kipindi cha kampeni na toka lianze hadi leo hakujawahi kuletwa ushahidi wa maana kuwa Trump ni 'puppet' wa Russia.
Naomba nikuulize swali moja tu linanisumbua...Between Trump and what you call the "liberal" media, which side would you bet on and who would you believe without question? When put under close scrutiny who really is likely to be the master purveyor of what is called fake news?Habari yenyewe ili/imegawanyika vipengele tofauti, mara Russia wali-spy na ilibidi watafute namna ya kuwaunganisha WikiLeaks na Russia, mara Russia wali-hack vifaa vya uchaguzi kwenye majimbo matatu (jambo ambalo liligundulika halikuwa kweli). Sasa hivi aina yoyote ya mahusiano au anything to do with Russia ni crime!!. Ndio maana Trump anasema hii ni 'political witch hunt'.
Huu ni uongo, ninavyojua mimi Republicans walio wengi wanacheza ngoma ya Donald Trump na hata pale anapoonekana kuchafua hewa wako tayari kumtetea. Mimi nasikiliza sana hizo Conservative radio na TV, kwao Trump is like a messiah, does no wrong!Democrats walichokifanya ni kutunga a beautiful Russian collusion story na kutaka rasilimali zitumike kutaka kuthibitisha walichokitunga in the hope of dragging Trump asitekeleze ajenda yake. Walijua kuna Republicans wanachukia Russia na watacheza ngoma yao, which is true.
Eti Trump kawapa democrats special counsel...could you tell this to the birds? Democrats hawakutaka special counsel walitaka independent counsel na Republicans katika juhudi zao kumuokoa Trump, uteuzi wa special counsel umewapa ahueni ndio maana wameunga mkono.Trump anajua kila kitu, labda anachokosea ni namna ya ku-deal na haya mambo. Kwa mfano amechelewa kuwapa democrats 'special counsel' kwa sababu hili suala la Russia Dems walipanga kukomaa nalo popote litakapowapeleka.
This is B/S...does this apply only to Trump or are you in any way insinuating that Americans have no idea how their country is run unless they have held political posts? Do you know how many hours were spent by experts briefing him once he was declared the official runner?(B) Kitu kingine ambacho ni fact ni kuwa Trump haja-graduate kutoka kwenye kuendesha kampuni (CEO) kwenda kwenye kuongoza serikali au kuongoza nchi (POTUS) kwa asilimia kubwa. Kwa mfano Trump ana-struggle kuendana na mfumo wa serikali ya US ulivyo na unavyomtaka aongoze. But this is someone ambaye hajawahi kuwa kiongozi yeyote katika ngazi yoyote serikalini na waliomchagua waliamua kumpa benefit of doubt. Learning curve yake bado ipo vizuri.
Would you be specific? Anakosea, anakusudia ama hajui? Utasemaje anafanya kwa utukutu hata anaposhauriwa halafu hapo hapo unadai hana uzoefu? Kwa nini usikiri tu kwamba jamaa hafai na Urais unamzidi kimo?Kosa analofanya Trump ni kendekeza U-CEO kwenye nafasi ya POTUS which is not good. Trump anashauriwa mambo ya kufanya na jinsi ya kufanya, but along the way anajikuta ameshakosea. Kwa mfano suala la ku-tweet kila mda nadhani ameshashauriwa hata na Ivanka kuacha ila anaamua tu kuwa mtukutu.
Trump anaita media fake news zinapoandika kwa usahihi habari ambazo zimetokana ama na matendo yake au kauli zake. Ingawa wewe mwenyewe unakiri kwamba kauli zake zinaleta utata au kuwa inconsistent, kwa nini unasita kukiri kwamba nyingi za hizo kauli ni uongo? Nadhani naweza nikawa sahihi kwa kudai kwamba katika historia ya Marekani hakuna mgombea Urais aliyekuwa muongo na mzushi kumzidi Trump.Pia nakubaliana na wanaosema Trump ana tatizo la kauli, ndio maana mda mwingine kauli zake zinaleta utata au kuwa inconsistent na matokeo yake zinakuwa habari. Kitu ambacho anajisahahu ni namna media za US hasa zile zisizompenda zilivyo sensitive na kila neno linalotoka kwake. Kuna mda media ni unfair na dishonest lakini sio mda wote.
Ni kweli Trump anao mashabiki ambao hata akisema nini na hata akifanya nini hawawezi kumuacha na ni wale aliowasema kwenye kampeni kwamba I could stand in the middle of Fifth Avenue and shoot somebody, and I wouldn’t lose any voters, OK?” Bahati mbaya sio majority ya Wamarekani...please you are free to join them, but me Mag3? I just happen to be older and wiser.Trump inabidi aelewe kuwa kuna liberal na conservative media. Apige kazi tu, awaache liberal media wafanye yao kwa sababu hawezi kuwabadilisha kwa maneno yake au tweets zake.
Update...
[B]El Jefe[/B], I hope you are following the developments that are taking place in both houses yesterday and today...especially the Deputy AG's testimony in full-Senate and full-House
Breaking News: Firing that nut job!
“I just fired the head of the F.B.I. He was crazy, a real nut job,” Mr. Trump said, according to the document, which was read to The New York Times by an American official. “I faced great pressure because of Russia. That’s taken off.”
Mr. Trump added, “I’m not under investigation.”
cc: El Jefe