Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

KOSA LA KIUFUNDI SAKATA LA COMEY

Katika barua WH iliyoandika, Trump anamshukuru Comey kwa utumishi
Anamshukuru pia 'kwa kumeleza nyakati tatu tofauti , FBI haimchunguzi'

Kauli hiyo ya kutochunguzwa na FBI ina matatizo kifundi
Kwanza, Comey ali testify katika kamati ya Bunge na kuthibitisha uchunguzi upo

Comey alikataa kueleza kwa kina akisema habari hizo ni classified information
Alimaanisha ni wale tu wenye security clearance wanaweza kupata ikibidi, si public

Rais Trump kujua kama anachunguzwa au la kutoka kwa Comey si kosa
Rais ana access na classified information na huenda alimweleza

Tatizo linapotokea ni , je, alimtaarifu kabla ya ku testify au baada ya hapo?
Alimtaarifu kwa maneno au zipo kumbu kumbu?

Kitendo cha Rais kusema 'alitaarifiwa na Comey wa FBI' tayari kina comporomise uchunguzi. Hilo ni sawa na ku declassify information zinazofanyiwa kazi

Ipo siku Comey ataulizwa kuhusu hilo na itabidi akubali au akanushe

Kwa upande mwingine, tayari Rais anaonekana ''amesafishwa''
Kusema maneno hayo ni kujisafisha mwenyewe wakati uchunguzi ukiendelea

Swali wanalojiuliza wengi ni kwanini Trump anaonekana kuwa na hofu ikiwa mwenyewe anathibitisha hakuna tatizo?

Tusemezane
Bandiko hilo tulileta kabla ya interview ya Trump na NBC siku ya alhamisi
Habari inayozungumzwa ni kosa hilo la kifundi ambalo Trump amelifanya kwa kujua au kutokujua

Tulisoma barua ya Trump na kujiuliza kama kweli alijua ABCD za Washington,DC
Rais Trump ametaja mara 3 alizoambiwa na Comey kuwa 'hachunguzwi'
Kwanza, katika dinner ambayo haukueleza nani aliandaa kwa undani na ilikuwa kujadili nini
Pili, Comey alimpigia simu kwa mujibu wake
Tatu, Trump alimpigia simu kumuuliza kama anachunguzwa

Kumbuka, Comey ali testify mbele ya kamati kuwa Trump kampeni ilikuwa inachunguzwa.
Hivyo ima Comey atalazimika kueleza ni kwa vipi na kama credibility ya uchunguzi ilikuwepo

Mahojiano na NBC Trump alibanwa kuhusu kauli alijitetea alimuuliza kama mtu binafsi 'anachunguzwa'

Rais Trump anasahau ni mkubwa wa kampeni na hakuna namna wanaomzunguka wakahusika bila kubeba dhamana.
Kwa maneno mengine Rais Trump anaanza kuwakana washirika wa kampeni kama kama kampeni, 'anajitoa'

Tatu, Trump amesema alipanga kumfukuza Comey siku nyingi kabla ya taarifa ya Roseinstein na Sessions.

Hili ni tofauti na kauli zilizotolewa na VP Pence, Msemaji wa WH Sarah Sanders, Mshauri Kellyanne Conway na mwenzetu 'JF El Jef' ambaye anayepewa benefit of doubt kama mhanga wa propaganda

Kauli ya Trump imewatosa waliojitokeza kushadidia Roseinstein alishauri au alimfukuza Comey kwama wasemavyo

Ukweli upo wazi kutoka kwa Trump kuwa emails za Clinton hazikuwa sababu.
Roseinstein hakuwa na sababu za kushauri Comey aondolewe wakati inspector general anamchunguza Comey

Katika mahojiano na NBC Rais Trump amesema FBI ilikuwa katika 'turmoil' kutokana na uongozi wa Comey
Wakati huo huo McCabe anasema kazi ya Comey ilikuwa nzuri na hakuna kasheshe ndani ya FBI!!!

Trump alisema hakuna 'collusion' yake au kampeni yake na Russia. Hii kauli nayo ina matatizo na itamsumbua
Watuhumiwa wakubwa ni washirika wake wengine wakishiriki kampeni, ana uhakika gani kama hawakushiriki?

Zipo habari kuwa ofisi ya Comey imewekewa utepe kama ule wa 'crime scene'.
Haielweki ni kwanini, na nini kimetokea wakati Comey aliporudi kutoka California alikopata habari za kufukuzwa kwake

Ulitazama suala zima, kuna tatizo linaloendelea ambalo haijulikani mwisho ni upi

Tusemezane
 
  • Thanks
Reactions: dtj
..​
No, not true. A photographer for a Russian state-owned news agency was allowed into the Oval Office on Wednesday during President Donald Trump's meeting with Russian diplomats, a level of access that was criticized by former U.S. intelligence officials as a potential security breach.....
Kama una muda pitia hii link

>>>‘Hysteria over my White House shoot is nonsense’ – Russian photographer who filmed Lavrov & Trump
============

18342487_10213385890951422_3940536926523307724_n.jpg


Referring to the photograph of Trump with the Ukrainian Minister of Foreign Affairs, Pavlo Klimkin "in the very same Oval Office," in which Klimkin is seen with his hands on Trump's table, with the president seated beside him, the Russian official pointed out that the Ukrainian minister might had left his fingerprints on the US president's desk.
 
‘Comey better hope there are no tapes of our conversations’ before leaking to press – Trump

US President Donald Trump has warned fired former FBI chief James Comey against leaking material to the media. In a tweet on Friday he said Mr Comey had "better hope that there are no 'tapes' of our conversations". Mr Comey, who had been leading an inquiry into alleged Russian meddling in the US election, was fired by the president on Tuesday. Mr Trump has since insisted he was told by Mr Comey that he was not under investigation.
BBC.com
===========
Kulikuwa na vurugu FBI karibu mwaka uliopita...na vurugu hizo hazijatulia.Hivyo hii ndiyo sababu ya kumtimua "showboat."-Trump.
-----
Inaonekana Comey ndiye alikuwa anawa'feed' wikileaks nini?
 
Mkuu TUJITEGEMEE

Leaks za Washington na New York si jambo geni, zimekuwepo miaka nenda rudi
Alichokifanya Trump ni 'preemptive' strategy ili kuzuia leaks

Hiyo tweet inazua maswali, ikiwa hakuna tatizo na Comey alimhakikishia hachunguzwi, wasi wasi wake ni kitu gani hadi kuogopa leaks? Kwa maana kuwa kuna hofu gani kwa jambo lisilo na tatizo?

Suala la Russia linachunguzwa na watu zaidi ya 100. kunawezekaje kudhibiti kundi hilo ikiwa simu yake na waziri mkuu wa Australia au Rais wa Mexico ndani ya oval office bado zili leak!

Makosa hayo ya kiufndi yanazidi kuchochea udadisi.
Hata kama hakuna 'collusion' udadisi utaendelea na utamsumbua sana

Ni sawa na kosa la kiufundi kuhusu picha yake na balozi wa Russia.
Balozi ni mwenyeji wa waziri wa mambo ya nje

Kosa alilofanya Trump ni kusema 'Putin alimwambia atampokea waziri wa mambo ya nje.
Sasa ningefanya nini, nimkatalie'' alihoji Trump

Katika jicho la America na ukuu wake, hilo lilionyesha udhaifu kwa Putin

Pili, wakati kuna saga la Comey na uchunguzi wa Russia ukimhusisha balozi, haikuwa muafaka kupiga naye picha. Ieleweke kupiga picha si tatizo, tatizo ni pale picha hizo zilipotokea Russia

Kwamba, mpiga picha wa Russia aliruhusiwa na wale wa US hawakuruhusiwa

Inaonekana kuna kitu walitaka kuficha kuhusu kukutana na Balozi.
Bila tatizo la kukutana, tukio limeongeza udadisi nini kilidhamiriwa na kwanini ilikuwa siri

Tusemezane
 
KIWEWE CHA COMEY
TRUMP 'AMTISHIA'

Katika hali inayoonekana kuwa kiwewe, Rais Trump ame tweet akisema 'vema Comey akatumaini hakuna mkanda wa maongezi baina yao

Hili limeonekana kama tishio kuwa endapo Comey ata leak habari basi huenda kuna mkanda
Jana Trump alisema waliwasiliana na Comey mara 3, katika chakula cha jioni na simu

Comey alimhakikishia kuwa hachunguzwi na FBI

Hoja inayozungumzwa hapa ni kwanini Trump ana hofu na kumfukuza Comey?
Kuna habari gani ambazo asingependa umma uzipate kwa leak?

Siasa za US hasa DC zina namna yake.
Kukiwa na vyanzo vingi vya uchunguzi wa Russia, leak haziwezi kutoka leo au kesho.

Inaweza kuchukua miezi hata miaka, wakati muafaka ukifika leak zitatoka

Uchunguzi unahusisha agencies za nchi kama Ulaya zilizo wasiliana na za US
Kuna idadi kubwa ya watu wanaochunguzwa ambao haieleweki ushiriki wao

Habari inaweza kutokea kwingine halafu 'leaks' zikachomekwa,si rahisi kujua nani kaleta

Siasa za DC ni za timing, leak zinaweza kutokea hata siku au wiki chache kabla ya uchaguzi
Email za Clinton zilikuwa za siku nyingi, mwisho zikatumiwa katika uchaguzi

Swali linalosumbua wanasiasa na wachunguzi, ikiwa hakuna tatizo kwanini kuna kihoro kiasi hicho?

Tusemezane
 
Turudi nyuma kidogo, ina maana miezi sita baada ya kuapishwa kuwa Rais (July 19, 1993), Bill Clinton alipompiga chini William S. Sessions (Director wake wa FBI) kwa kufuata recommendations za Janet Reno (Attorney General), aliwaagiza Janet Reno (AG)...
Mbona Bill Clinton alimfukuza William Sessions mwaka 1993....
Rais kufanya kile kilicho ndani ya madaraka yake kikatiba si udikteta.
Tukirudi nyuma kidogo, mwaka 1993, hata Senate Minority Leader wa kipindi hicho, Robert J. Dole (R-Kan) pia alipinga uamuzi wa Bill Clinton kumfukuza kazi William Sessions (FBI director wa kipindi hicho) na kumtahadharisha AG.
Glad that fool has been let go.
Long overdue. Even Bill Clinton fired William Sessions back in 1993.....
Birds of a feather...? While both broccoli and candy bars can be considered snacks, comparing the two in terms of fat content and ignoring the significant difference in taste, leads to a false comparison. In my case the technique of comparing two people who are completely different is called Donald...Donald who?
 
Donald Trump said:
James Comey better hope that there are no "tapes" of our conversations before he starts leaking to the press!

This tweet, wow...the man is in a hole yet he keeps on digging! With this tweet, he has proven beyond any reasonable doubt that he isn't fit to be president. Now he will not only have to hand over the tapes but also explain why he did what he did in the first place. This is the situation described in the phrase...finding oneself between the rock and a hard place!

May be Trump has no idea what the White House really is; maybe he still regards it as his private office, poor he! It hasn't yet dawned on him that everything he does faces credibility and ethics tests and that he is answerable to people of The USA! The tapes, if they exist, are not his personal property and I bet he is now wishing he had kept his trap shut.
 
Get your popcorn ready

James Comey is insisting that his final Trump-Russia testimony be in public
By Bill Palmer
Updated: 1:26 am EDT Sat May 13, 2017

Call it Comey’s revenge, or Comey’s coming for ya. But either way, make sure you Comey and get some popcorn, because the fun’s about to start. Earlier today James Comey rebuffed a Congressional request to testify in a closed hearing on Tuesday about the investigation Donald Trump just fired him from. And it’s partly because he wants his testimony to be in public hearings so everyone can watch live on television.

Palmer Report has already pointed out that Comey probably turned down the request to testify partly because he wants to be subpoena’d instead, which would legally compel him to testify, thus freeing him up legally to discuss more sensitive aspects of the Trump-Russia investigation (link). But it turns out there’s more to it. Buried all the way down in the twelfth paragraph of this New York Times article (link) you’ll find the inside information that Comey is holding for public hearings. Chew on that for a minute.

Why would James Comey be pushing for his testimony to be in public hearings? There’s really only one reason for it. He wants to be able to deliver his testimony, in what might be the final public statement he ever gets to make in this kind of capacity, before the largest audience possible. Whatever he’s planning to reveal about Donald Trump and/or the FBI’s Russia investigation, he wants to make sure the American people and the world get to hear it directly from him, with no opportunity for any Trump loyalists on the Congressional committee to twist his words.

That said, James Comey isn’t going to suddenly turn into a gossiper during his testimony, after a career of being a law-and-order type. But he wants his testimony to be public, big, shattering, and heard by everyone, so he can then drop the mic and leave Donald Trump to pick up the pieces. Get your popcorn ready indeed.
 
YALIYOJIRI WIKI HII
SAKATA LA RUSSIA
SIASA ZA NJE

Wiki iliyokwisha ilijaa mauza uza katika utawala. Hayo yamesababisha au kufunika baadhi ya mambo

Kwanza, tarehe 1 Jan 2017 siku 20 kabla ya kutawazwa, Rais Trump aliwaambia Waisrael, wasubiri tu muda mfupi hawatukuwa na mawaa yanayotokana na mtofuano wa BB na OB.

Aliwaahidi katika siku 100 ubalozi wa US tutahamia Jerusalem kutoka Tel Aviv.
Wiki chache baadaye, Trump alikutana na BB na kumshauri asitishe upanuzi wa majengo

Leo US imesema haitahamisha ubalozi wake Jerusalem kwasababu itakuwa kikwazo kwa amani
Suala la Ubalozi limepingwa na viongozi wote wa US katika historia ya miongo kadhaa

Hapa Jamvini tulisema kuwa siasa za US zinaweza kubadilika za ndani, zile za nje hazijali nani atakuwa madarakani, zipo kama ilivyo. Siku 100 za ahadi hazikuhamisha ubalozi na hali ipo kama ilivyokuwa

KOREA
Nkorea imejaribu makombora baada ya Rais wa SKorea kuingia madarakani.
US inasema kupitia balozi wake UN kuwa itaendelea kukaza uzi wa vikwazo

Trump alimlaumu sana Obama kwa NKorea. Tambo za kupeleka majeshi zimekwisha na kinachotekelezwa ni sera za Bush na Obama zilizoelekeza vikwazo kama njia ya kuibana Nkorea

RUSSIA
Kama mtakumbuka, huko nyuma tulisema, Republican hawataki kuwa na Independent prosecutor
Hili ni katika kuhakikisha uchunguzi unabaki kwa FBI, House committee ambayo kiongozi ni Nunes

Nunes alibofoa baada ya kwenda WH kwa mlango wa nyuma. Akalazimika kujitoa 'recuse'
Hilo likalazimisha seneti iwe na kamati yake ambayo nayo pia ipo chini ya Republican

Inaendelea
 
RUSSIA
Ikumbukwe kuwa Spika Ryan ni Republican hivyo ilitumainiwa suala la independent prosecutor litaweza ''kudhibitiwa''. Tatizo lilikuwa ni FBI chini ya James Comey.

Rais Trump akamwalika dinner. Mahojiano na NBC Trump alisema Comey aliomba dinner.

Kinachojulikana dinner ilikuwa WH si rahisi mtu wa nje kuomba WH iandae dinner
Rais Trump kama kawaida hakuwa mkweli kwa kauli zake

Katika chakula hicho, imeelezwa na Clapper aliyekuwe Dir of National intelligence kuwa Comey hakupenda mwaliko kutokana na mwingiliano wa masilahi

Clapper anasema 'watu wa karibu' wanaeleza Trump kumtaka Comey awe loyal,atamwacha FBI
Alichotaka kutumia ni 'deal maker' kama zile za kwenye kampuni zake, akisahau ni Serikali

Comey alikataa kuwa loyal akamweleza atakuwa honest.
Hilo likamtibua Rais Trump na kumtimua si kama ilivyoripotiwa, ni ushauri wa AG na DOJ

Kauli ya Trump ilimdhalilisha Comey akiwa kazini bila staha, akipata habari kwa TV
Lakini pia ilimwacha VP Pence na aibu kwani alichokisema ni tofauti na alichosema Boss

Hakukuwa na mkakati na kama ulikuwepo Trump aliwatupa wenzake 'under the bus'
Surrogates na VP wameadhirika kwa kusema ni mapendekezo ya AG na DOJ

Katika hali isiyo ya kawaida Rais Trump anaongea na waandishi mmoja mmoja.
Trump anakiri wapiga debe hawafanyi kazi nzuri kuhusu Russia lkila uchao

Kauli anazotoa zinazidi kushashadidia wasi wasi na mashaka ya uhusika wake

Kwa vipi? Inaendelea.....
 
SAKATA LA RUSSIA

Kama mtakumbuka, tulisema awali , barua ya Trump kwa Comey ilikuwa na matatizo na makubwa kuliko alivyodhani. Haieleweki kama washauri waliiona kabla ya kutuma

Trump alisema, amepokea ushauri wa AG Rosenstein, Comey hakushughulikia vema emails
Swali la kwanza likazuka. Roseinstein alitumwa na nani kuMchunguza Comey ikiwa Inspector general alikuwa anamchunguza

Pili, ushauri huo ilipitia kwa Sec Sessions
Swali la pili, ilikuwaje Sessions akaingilia mambo yanyomhusu Comey akiwa anachunguza Russia meddling ilihali alisema amejitoa katika uchunguzi wa yote yanayohusu Russia?

Tatu, Trump akamshukuru Comey kwa kumweleza mara tatu kuwa hachunguzwi na FBI
Swali, ilikuwaje Comey akazungumza na Trump ambaye kampeni yake inachunguzwa?

Nne, Trump aka tweet Comey asianze ku leak information katika media
Swali, hofu ya ku leak inatoka wapi ikiwa alihakikishiwa hachunguzwi na Comey?

Tano, Trump aka tweet ni vema Comey akajiridhisha hakuna 'tape' ya maongezi yao mara 3 kabla ya ku leak information katika media. Swali, kwanini Rais anamtisha Comey kwa Tweet?

Kubwa zaidi, kama ana tape hiyo si mali yake, ni mali ya WH hivyo ikitakiwa lazima ipatikane

FUKUTO

Tweet na hatua za kumfukuza Comey hasa timing zimezua mtafaruku katika viunga vya DC
Ni wazi Rais Trump anataka ima kuvuruga uchunguzi au kuhakikisha hautoi matokeo halisi

Jambo hilo limewapa Democrats na Independents nguvu, huku moderate GOP wakiunga mkono
Nguvu ya Spika Ryan, Majority leader McConnell katika house na seneti inaanza kutoweka.

Kwa vipi? Inaendelea
 
SAKATA LA RUSSIA

Kauli za Rais Trump kubadilika kila mara na mashaka juu yake, ihoja ya independent prosecutor inapata nguvu inaungwa mkono na kundi kubwa

Kuna hoja kuwa mkuu wa FBI atakyemrithi Comey atakuwa 'loyal' kwa Trump
Kwamba government tayari imeshaonyesha kuingilia uchunguzi

Wengi wanaamini bila chombo huru kama IP ukweli wa Russia hautajulikana
Wapo wamaoamini IP hatakuwa na uwezo wa kupata taarifa kutoka FBI kwa kazi zake

Democrats wanasema kura za masuala ya serikali zitazuiliwa hadi apatikane IP
Kuna wanotaka kamati ya pamoja ya House na Seneti itakayokuwa na mamlaka zaidi

Kauli za Rais Trump dhidi ya Comey zinapelekea Comey kukaa mkao wa kulipa kisasi
Inasemwa amekataa wito wa mbele ya kamati isipokuwa kwa mjadala wa wazi kwa umma

Inawezekana Comey anataka aitwe kisheria 'subpoena' apate nafasi ya kuwa uhuru

Wakati huo huo fail la Flynn limeitwa kisheria na kamati wakati WH ilikataa kulitoa bila sababu

Ni kwa matukio ya wiki iliyopita jaribio la kuzuia uchunguzi au kuingilia linalazimisha uwepo wa uchunguzi wa chombo huru kama IP.

Hakuna ushahidi hadi sasa wa kuhusika kwa kampeni, ieleweke uchunguzi unaendelea

Papara na kihoro na kimuhe muhe zinazidi kutoa tafsiri inayolazimisha uchunguzi wa kina
Suala linapewa ufananano 'parallel' na kashfa ya Watergate na Nixon

Nini kitatokea hakuna ajuaye, muda utaeleza wakati ukifika

Tusemezane
 
Breaking News: Trump revealed highly classified info to Russians!

402B1EAF00000578-4492690-image-a-18_1494434389318.jpg


Only one photographer for a Russian state-owned news agency was allowed into the Oval Office on Wednesday during President Donald Trump's meeting with Russian diplomats!

Trump revealed highly classified information to Russian foreign minister and ambassador

During the May 10 meeting at the White House with Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov and Ambassador to the U.S. Sergey Kislyak, Trump began describing details about an Islamic State terror threat related to the use of laptop computers on aircraft, according to current and former U.S. officials.

President Trump revealed highly classified information to the Russian foreign minister and ambassador in a White House meeting last week, according to current and former U.S. officials, who said Trump’s disclosures jeopardized a critical source of intelligence on the Islamic State.

The information the president relayed had been provided by a U.S. partner through an intelligence-sharing arrangement considered so sensitive that details have been withheld from allies and tightly restricted even within the U.S. government, officials said.

The partner had not given the United States permission to share the material with Russia, and officials said Trump’s decision to do so endangers cooperation from an ally that has access to the inner workings of the Islamic State. After Trump’s meeting, senior White House officials took steps to contain the damage, placing calls to the CIA and the National Security Agency.

“This is code-word information,” said a U.S. official familiar with the matter, using terminology that refers to one of the highest classification levels used by American spy agencies. Trump “revealed more information to the Russian ambassador than we have shared with our own allies.”

The revelation comes as the president faces rising legal and political pressure on multiple Russia-related fronts. Last week, he fired FBI Director James B. Comey in the midst of a bureau investigation into possible links between the Trump campaign and Moscow. Trump’s subsequent admission that his decision was driven by “this Russia thing” was seen by critics as attempted obstruction of justice.

Source: Washington Post.

Je hii ndiyo sababu FBI Director Comey alifukuzwa?
 
Imagine the reaction of Americans if you change the heading of this article to Barack Obama.

Breaking News: Trump revealed highly classified info to Russians!

402B1EAF00000578-4492690-image-a-18_1494434389318.jpg


Only one photographer for a Russian state-owned news agency was allowed into the Oval Office on Wednesday during President Donald Trump's meeting with Russian diplomats!

Trump revealed highly classified information to Russian foreign minister and ambassador

During the May 10 meeting at the White House with Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov and Ambassador to the U.S. Sergey Kislyak, Trump began describing details about an Islamic State terror threat related to the use of laptop computers on aircraft, according to current and former U.S. officials.

President Trump revealed highly classified information to the Russian foreign minister and ambassador in a White House meeting last week, according to current and former U.S. officials, who said Trump’s disclosures jeopardized a critical source of intelligence on the Islamic State.

The information the president relayed had been provided by a U.S. partner through an intelligence-sharing arrangement considered so sensitive that details have been withheld from allies and tightly restricted even within the U.S. government, officials said.

The partner had not given the United States permission to share the material with Russia, and officials said Trump’s decision to do so endangers cooperation from an ally that has access to the inner workings of the Islamic State. After Trump’s meeting, senior White House officials took steps to contain the damage, placing calls to the CIA and the National Security Agency.

“This is code-word information,” said a U.S. official familiar with the matter, using terminology that refers to one of the highest classification levels used by American spy agencies. Trump “revealed more information to the Russian ambassador than we have shared with our own allies.”

The revelation comes as the president faces rising legal and political pressure on multiple Russia-related fronts. Last week, he fired FBI Director James B. Comey in the midst of a bureau investigation into possible links between the Trump campaign and Moscow. Trump’s subsequent admission that his decision was driven by “this Russia thing” was seen by critics as attempted obstruction of justice.

Source: Washington Post.

Je hii ndiyo sababu FBI Director Comey alifukuzwa?
 
Imagine the reaction of Americans if you change the heading of this article to Barack Obama.
Mkuu BAK, If that was the case WH would be on fire. Hata hivyo naona Trump naye watu wake wanaanza kumchoka. Aliyevujisha hii lazima atakuwa mtu wa ndani aliyechukizwa kweli kweli na kitendo chake hicho. Siku zake madarakani huyu mhuni zinazidi kupungua asipoangalia.
 
Kwa madudu ya huyu sidhani atafika 2020 na kitaa wananchi wamekuja juu kupita kiasi kuhusu sera zake mbali mbali ambazo wengi hawaziafiki.

Nilikuwa najua jamaa ni bomu lakini sikutegemea kabisa iwe katika kiwango hiki.

Mkuu BAK, If that was the case WH would be on fire. Hata hivyo naona Trump naye watu wake wanaanza kumchoka. Aliyevujisha hii lazima atakuwa mtu wa ndani aliyechukizwa kweli kweli na kitendo chake hicho. Siku zake madarakani huyu mhuni zinazidi kupungua asipoangalia.
 
Back
Top Bottom