Duniani kuna vituko..

Duniani kuna vituko..

stardust JK

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,998
Reaction score
4,256
Hii ni zaidi ya futuhi dahhhh...
FB_IMG_15657020700347266.jpg
 
Hawa jamaa kwanini huwa hawavai Gloves!?
 
Kamuonea wivu bintiye. Kesho sijui atamuonea kwa lipi
 
1.Huyu ni mwanume wa Dar
2.mke wake huwa yuko busy Instagram hana muda wa kumsafisha miguu na kumkata kucha.
3. kwenye meza ya pembeni kuna jamaa la mkoani limeingia Dar jana limebaki limehamaki linatamani likamkate jamaa makofi.
Hiyo namba mbili Mkuu kwani mwenyewe anashindwa nini sasa. Si akate tu kama mke yuko busy?

Au ndio ana pesa za mchezo.
 
Back
Top Bottom