Uganda wameanza, Tanzania bado tupo usingizini?

Uganda wameanza, Tanzania bado tupo usingizini?

Lipwebwete

Member
Joined
Apr 14, 2021
Posts
41
Reaction score
73
Kwa jirani zetu Uganda, mikwara, vituko na vitimbi kemkem vya "CDF" wao Muhoozi Kainerugaba, vimekuwa ni jambo la kawaida sana.

Anasifika kwa kuwaminya wapinzani mpaka basi.....

Lakini, Leo kaja kivingine... Kamtoa Besigye kwa ajili ya "mazungumzo" Tanzania, inawezekana hii kweli? Najiuliza tu
 
Tanzania ni asubuhi tu Lisu anaweza kuachiwa, hukumu ya kesi yake imekaribia, tusubiri atahukumiwa vipi, ni ama ahukumiwe au aachiwe huru, awe huru kufanya siasa na kuna mazungumzo ya maridhiano yanamsubiri
 
Back
Top Bottom