Duniani kuna vituko..

Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Hao hupenda kusema tumia hela ikuzoee au hela ikutunze sio wewe uitunze, anataka apate raha ambayo wanawake huwa wanapata pindi wanapakwa rangi๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Sikuwa najua kwani wanawake wanapataga raha?

Mana sijawahi kujaribu hiyo kitu kwani huku Nanjilinji hawapatikani hao vijana.
 
Josaje Mtui

Josaje Mtui

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Messages
1,859
Points
2,000
Josaje Mtui

Josaje Mtui

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2016
1,859 2,000
Kinachofuatia ni kuchomoekwa betri ili na yeye asikilizie utamu wanaopata dada zake
 
Ulirchdov

Ulirchdov

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
206
Points
250
Ulirchdov

Ulirchdov

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
206 250
Yabidi mjizoweshe kukaa vikao vya mara kwa mara Mkuu ili tusiwapoteze. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kazi
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Walio ooa tuu. Wasio oa wasubiri paka waoe. Wasio oa wajikate wenyewe
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.

Hivyo inapobidi wenye wake mujikate tu na sio kuogopa viwembe jirani. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Donald sylvester

Donald sylvester

Member
Joined
Aug 11, 2019
Messages
11
Points
45
Donald sylvester

Donald sylvester

Member
Joined Aug 11, 2019
11 45
Dah! jamaa katulia kama mwanamke vile inaonekana ni mara kwa mara anashuhudia mke wake akifanyiwa hivyo kaamu na yeye ajionee mwenyewe
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kazi
Sasa Mkuu majukumu yote yakiwa ya mke unadhani kila jukumu litatekelezeka basi, zaidi madhara yake yatakuwa kama hayo sasa.

Nionavyo jambo dogo kama hilo mulifanye tu ikitokea nafasi imepatikana basi tutawakata tu.
 
sawima

sawima

Senior Member
Joined
Jul 9, 2019
Messages
190
Points
250
sawima

sawima

Senior Member
Joined Jul 9, 2019
190 250
Yani mtu anashindwa kukata kucha anasubir mke, mke mwenyewe shughuli lukuki.
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.

Hivyo inapobidi wenye wake mujikate tu na sio kuogopa viwembe jirani.
 
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
1,109
Points
2,000
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2016
1,109 2,000
sisi wa DAR tumemkataa sio wa kwetu mtafutieni mkoa mwingine
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Yani mtu anashindwa kukata kucha anasubir mke, mke mwenyewe shughuli lukuki.
Eti jamani. Hatukatai kuwakata ila inapobidi wakate tu kwani kikawaida kama usemavyo Mama haishiwi shughuli hasa awapo nyumbani.

Japo kuna mmoja kasema eti tunakuwaga busy na Instagram.
 

Forum statistics

Threads 1,325,450
Members 509,127
Posts 32,192,881
Top