Kuna sisi tunapenda humu JF 😁😁

Kuna sisi tunapenda humu JF 😁😁

Tayari uko😁
Screenshot_20240303-220259_1.jpg
 
Ukishalewa unakuwa msumbufu halafu pombe ikikata unakuja kuomba radhi. Kichwa chako kinaidhalilisha pombe.
 
Alaf kwenye uzi wangu ulikuwa una sapoti kupigwa vizinga na wanawake vichomi?
 
Tunapenda mno , ila tukigeuzwa vituko , sio kila mwanaume anapenda hili life style, kuna wengine tunapenda tutulie na wanawake zetu, ni nyie wanawake mnatugeuza tu kukataa ndoa🍺🤔
Kwani movement ya kukataa ndoa bado haijafa?
Watu wanaoa na kuolewa kitaa, mwingine anaoa binti unajua kabisa kama angefuatilia historia yake mtaani asingethubutu hata kuleta posa.
Movement ya kukataa ndoa ni social media based, not real life based.
 
Back
Top Bottom