Dunia yako, chaguo lako...

Dunia yako, chaguo lako...

Kuna siku alianzisha thread ya kusema atapotea miezi 9.
Tukadhani utani tu, tukamuaga kwa kumtania
wengine wakisema ni mimba, wengine wakisema kafungwa.
Sasa naona imesha kua kama wiki mbili, no post.
Amenigongea ka like kwa mbaliiii ila simuoni online...:thinking:

basi anataka um-miss....
 
Mate yananivuja "cha usiku" wenzetu mwala nini ?
Nahisi ni minyama ya ukweli haikosi hapo,
mi mwenye nyumba mpaka muda huu simuoni eti bado yuko job! Mapishi yote yanaratibiwa na Beki 3 !
Pole mkuu,
Mtafute Rejao atakwambia hua tunakula nn,
Na mda huu ndio namlisha cha mchana lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom