Mwaka 2012 dunia ni yako, chaguo ni lako, chagua kupigania haki yako epuka uoga usiokuwa na manufaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka 2012 dunia ni yako, chaguo ni lako, chagua kupigania haki yako epuka uoga usiokuwa na manufaa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by samirnasri, Jan 13, 2012.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mwaka 2012 chagua kudai haki yako na kulinda raslimali za taifa zisiporwe na wahuni wachache kwa manufaa yao binafsi. Mtanzania unapaswa kufunguka na kutoka kwenye chupa. Haki ya mtu haiombwi bali inadaiwa na kupiganiwa ili mradi amani itawale. Epuka uoga ambao hauna manufaa kwa taifa lako.
   
 2. Secretary General

  Secretary General Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dunia ni yako chaguo ni lako, Chagua kuwa mbali na CCM chagua kuuukataa umaskini wa mawazo.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  2012 dunia yako chaguo lako , chagua kufanya kazi kwa bidii epuka lawama zisizo na msingi,lipa kodi piga vita rushwa.
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja.
  MP.
   
Loading...