Dunia yako, chaguo lako... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia yako, chaguo lako...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Mar 26, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  --chagua kuishi bila madeni
  --chagua kupunguza mipombe na ngono zembe
  --chagua kutumia kondomu, jasti in kesi
  --chagua kuishi kwa matumaini kama una ngoma tayari
  --chagua kutokufumaniwa, jasti in kesi
  --chagua kutokuwa na hasira
  --chagua kutoa misaada kwa wahitaji
  --chagua kwenda kusali
  --"Chagua kuish na watu vizur" - Merrita wa Jei efu
  --"Chagua kuona kitu positive in every challenge." - Russianroulette wa Jei efu
  --"Chagua kuacha maovu na umkabidhi Yesu maisha yako awe Bwana na mokozi wako.dunia yako chaguo lako" - Roby2006 wa JF
  --chagua ku.... na kadhalika

  Mapendo.
  TANMO
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye bold ni nini na wewe...?
  week end jimama lilikuachia..?...
  kuna mahali nilikuona.....

   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nguo zimekauka naona, tulipanga na preta leo jimama asingeanika tukuletee hata dera tu utoke nalo.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  acha kunichafulia reputesheni bana, jimama lipi bana? Hata mi nilikuona sijui kwa nini ulinichunia, yule uliyekuwa naye ni babu yako au ndo shemeji yetu? Lol
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  sweetlady unamsikiliza Preta? Aisee nguo bado kukauka, heb fanya fanya basi nilipate hata hilo dera nisogezee siku.. Au rubega itafaa zaidi.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  leo unamkataa eeh....
  yule niliyekuwa nae ndio my sweet caramel......we vipi bana....uzee uliuona wapi pale....?
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  jimama limemkabajeeee......anatia huruma ukimuona huyo......
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Chagua kushindia mlo mmoja...
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Aisee, hongera,, manake naona umemshika akashikika..

  Dah, kwa hiyo nabemendwa siyo? Lol
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu naona umechagua kupiga Deshi..
  siyo mbaya, ila chagua kujinunulia kabisa dawa za vidonda vya tumbo. Jasti in kesi
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kumbe jee.....
  (
  ila nina mpango wa kumuacha mtu chake.....vipi uko available...?)
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Chagua kuuza hati milki ya jf udaku?=Tanmo
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  acha hizo Bana, ile ndiyo kula yangu..
  kwani una shi'ng ngapi tuongee?
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mwone vile..
  (ngoja niongee na Jimama kama yuko tayari kuishi ukewenza, nitakushtua.... Ila nasikia Mtu Chake ni Kigagula Maarufu, hataitoa uhai kweli?)
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  weee.......sitaki......
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hutaki nini sasa?
  halafu punguza sauti Bhana..
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  leo bebii yangu sijui amekamatwa na nini maskini....umenionea sweet caramel wangu...?

   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kuna Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu, wamempeleka kituoni.. ngoja nikakuchekie kama ni yeye uje kumtolea mzamana..
   
 19. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  niko bebi wangu..

  mkuu una majungu wewe ...unanimaliza hivi hivi?
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem,
  dooo! Hata hummung'unyii ? Wamtombokea tu! Mwana wa mwanamke mwenzio ?
  Huoni unamsasambulia masekreti yake ? Sie tungejuaje kama Muheshimiwa alibakiziwa nguo za kuogea (barebody) tu !
   
Loading...