Dunia yako, chaguo lako...

Shem,
dooo! Hata hummung'unyii ? Wamtombokea tu! Mwana wa mwanamke mwenzio ?
Huoni unamsasambulia masekreti yake ? Sie tungejuaje kama Muheshimiwa alibakiziwa nguo za kuogea (barebody) tu !

kausha bana, usisababishe waanze tena..
 
Mate yananivuja "cha usiku" wenzetu mwala nini ?
Nahisi ni minyama ya ukweli haikosi hapo,
mi mwenye nyumba mpaka muda huu simuoni eti bado yuko job! Mapishi yote yanaratibiwa na Beki 3 !
Pole shemeji... Kumbe wife ameingia kazini usiku?.
 
Pole shemeji... Kumbe wife ameingia kazini usiku?.

No ! Ameingia mchana, aliniaga akitoka job atapitia saloon, kuboresha nywele, hata hivyo nafikiria niwe nampeleka mwenyewe, hii ya man alone mwisho leo!
Hii mida si unajua tena !
Ndo mida ya kucheza bao la kete !
Uongo Shem ?
 
Back
Top Bottom