Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Nilishamchange mind vuta pic anataka kulala na mm priceless
We jamaa acha ujinga wako, unaonekana mgeni na maisha ya pombe na hao viumbe, priceless...uwezi hata jua angekuibia, mtu yupo na timing zake ukamlaze njaa, na kichwa kakipata??

Ww unazidi kuonekana uwajui malaya, period.
 
Ckia mm pombe nilikuwa nakunywa zaman na malaya nawajua enzi na enzi najua jins ya kudeal nao
 
Mzee uyo kahaba wa dar ulikuwa hujastuka tu hapo alikuwa yupo kazini anatafuta ugal wake siku nyingine usirudie iyo kitu
 
Habar wadau!

Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa wale amba hawana shughuli za kufanya, street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana nae jana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahoji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiume na gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh, Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud kesho nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavu?
Huyo Dem Malaya tu, mdangaji, kama wadangaji wengine.
 
Kesho nenda kwenye uzi wa kula kimasihara utaona jamaa yako anasimulia.
 
Back
Top Bottom