Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Yaani watu bhan, mada ya jamaa ni kuhusu urafiki na mambo ya kuzungukana.. wao wanadeal na huyo demu na umalaya wake[emoji23][emoji23][emoji23]… Hapa hoja ni alichofanya huyo mwana ni sawa au sio sawa ? Hayo mengine ni kukamilisha story ila sio mlichoulizwa jmn[emoji23]
Hicho ndicho alimaanisha lakini sasa watu wapo na mwanamke tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Watoto bwana, yaani demu kulalia begani wewe unaona tayari alikuwa wako? Demu malaya, kalewa anataka kugongwa wewe unaleta usenge. Jamaa yako alimsoma akaona we mdwanzi ndio maana akakutosa.
 
Huyo sio mwanamke bali ni kahaba.
Mwanamke usiku anakwenda bar !!
Mwanamke anakubembeleza muende guest house within one night!!
Mwanamke anakunywa pombe.
Wewe na rafiki yako wote hamjielewi
Sikia ww km umezoea kuzungushwa sn ni ww kwa mm love ni dk tu akikataa basi iwe kanisan kwenye basi msikitin au stand ya basi popote pale
 
Wala hakumuona mjanja isipokuwa alikuwa hajakunywa plus akaleta ishu za kujuana kwanza. Malaya akaona hili fala litanipotezea muda.
We ndio tahira kabisa yaan ukinywa bia eti ndio mjanja nyiny ndio mafala mnaibiwa kirahis kwanza ukishakunywa haupo stable pili kumtomba mwanamke malaya sio ujanja nenda kampime kwanza afu ndio umle vzr sio unamla huku stress kibao

Jamaa aliemchota mtaan stor ishazagaa watu wanamuona boya tu ni heri mm niliekataa kulala nae ninachakuongea na kwa kifupi tu demu alimuibia hukp walipokwenda
 
Nilicomment hivi, usimuamini mlupo wa bat ukajua kakuelewa, anakulia timing tu..ona jamaa kapigwa, alishakusoma akaona ww mjanja mjanja utapoteza muda wake,
Unachosema kwel lkn kwann asinhesepa kule kulebar maana masela walikuwa kibao tu tena wengine alikuwa anawatolea nje
 
Wala hakumuona mjanja isipokuwa alikuwa hajakunywa plus akaleta ishu za kujuana kwanza. Malaya akaona hili fala litanipotezea muda.
Hahahahaha akaona hili miyayusho, sio miyeyusho...analeta kujuana watu wapo kazini, shubaaamitiii
 
Hahahaha.. kwahyo unatupa taarifaa ama unamripoti.. hujakuaa ww
Tulienda kula nyama na kuna garii.
So walikula nyama na gari ilikuwepo tukaishia gest so kule mlikwenda kushangaa unapima nini uzito cd hakuna
 
Una swaga za kishamba, ulishindwa kumla hata na condom, fala we
Tell me alishindwa na ganda eti wakapime nini uzito demu kamuona zuzu bado zerominded hapa town kuna kinga piga demu hadi atoe cheche
 
Achana nao hao wanao kubeza, huyo rafiki yako naye sio, hata kama hujamtambulisha mtu aliye na rafiki yako huwezi jisevia kama hujatambulishwa sasa huyo sio rafiki achana naye na huko atakuwa kakuponda haswa mpaka kumchukua huyo demu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nope mtu anakiraru (hamu) eti tukapime huo ni ufala
 
Back
Top Bottom