Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Watu Wana ugwadu wewe unaleta mapenzi.

Imekukosti hivi hivi.

Sema nini, ushkaji wa kiume haufagi kirahisi.
 
Habar wadau!

Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa wale amba hawana shughuli za kufanya, street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana nae jana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahoji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiume na gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh, Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud kesho nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavu?
Demu ambaye umekiri hukutumia nguvu kumpata una mlilia....huyo ni kahaba,so wala isijitape eti ulitumia dakika mbili akakukubalia kwa mbinu zako🤣🤣🤣...tafuta binti mwenye adabu zake uoe mana achana na wadangaji na hapa mjini wapo wengi sana wata kuonyesha mahaba kama yote mpaka utapagawa🤣🤣🤣....kumbe ni mazafanta wa kawaida.
 
Angekuwa malaya angedai chake mapema
 
Mhuni kakuzidi KETE 😂😂😂😂😂

Habar wadau!

Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa wale amba hawana shughuli za kufanya, street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana nae jana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia I nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahoji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiume na gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh, Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud kesho nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavUP

UPDATE

Jamaa alipata majanga ila bado cjapata full story ntaileta soon
 
Yaani watu bhan, mada ya jamaa ni kuhusu urafiki na mambo ya kuzungukana.. wao wanadeal na huyo demu na umalaya wake[emoji23][emoji23][emoji23]… Hapa hoja ni alichofanya huyo mwana ni sawa au sio sawa ? Hayo mengine ni kukamilisha story ila sio mlichoulizwa jmn[emoji23]
 
Update wadau

Jamaa aliibiwa simu bado cna story kamil ntawajulisha full nin kilijir
We jamaa acha ujinga wako, unaonekana mgeni na maisha ya pombe na hao viumbe, priceless...uwezi hata jua angekuibia, mtu yupo na timing zake ukamlaze njaa, na kichwa kakipata??

Ww unazidi kuonekana uwajui malaya, period.
Nilicomment hivi, usimuamini mlupo wa bat ukajua kakuelewa, anakulia timing tu..ona jamaa kapigwa, alishakusoma akaona ww mjanja mjanja utapoteza muda wake,
 
Wala hakumuona mjanja isipokuwa alikuwa hajakunywa plus akaleta ishu za kujuana kwanza. Malaya akaona hili fala litanipotezea muda.
Nilicomment hivi, usimuamini mlupo wa bat ukajua kakuelewa, anakulia timing tu..ona jamaa kapigwa, alishakusoma akaona ww mjanja mjanja utapoteza muda wake,
 
Huyo sio mwanamke bali ni kahaba.
Mwanamke usiku anakwenda bar !!
Mwanamke anakubembeleza muende guest house within one night!!
Mwanamke anakunywa pombe.
Wewe na rafiki yako wote hamjielewi
 
Back
Top Bottom