Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

wauzaji huangalia fursa kwanza wala usimlaumu mshikaji, kama angekua si muuzaji wala asingeondoka.
Najua ni muuzaji ila co mamba na mzur hata kule nilipomtoa mda mwing nilikuwa namsoma tu kuna wahun kadhaa walimfuata aliwakatalia mm nilikuwa pale kumchange
 
Siamini Kama umeniita kwenye uzi wa kitoto namna hii
0d952.jpg
 
Ckia ww soma uelewe hapo demu nilishamset pia unapokuwa mlev demu mwenyewe akil anajua unamchota lkn sio akil zko ukiwa hunywi anajua una maanisha kuhusu kula nyama nipo ivyo maana izo nyama tumeenda kuzila sehemu moja uswaz balaa sahan ya plastik tena imechakaa jamaa alikuwa ashajua yule demu wngu maana mda wote upo began
Achana nao hao wanao kubeza, huyo rafiki yako naye sio, hata kama hujamtambulisha mtu aliye na rafiki yako huwezi jisevia kama hujatambulishwa sasa huyo sio rafiki achana naye na huko atakuwa kakuponda haswa mpaka kumchukua huyo demu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom