Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau!

Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa wale amba hawana shughuli za kufanya, street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana nae jana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahoji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiume na gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh, Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud kesho nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavUP

UPDATE

Jamaa alipata majanga ila bado cjapata full story ntaileta soon
 
Yaani unalalama kisa mdangaji. Na ww muombe leo uone kama utanyimwa. Jifanye hujui chochote.
😂😂 Pole sana imekuuma sana. Au ulitaka ukae mazima. 90℅ manzi wa viwanja piga sepa dogo acha ufilipino.🤣
Mda bro nilishamset nilitaka nimtoe hulko nimset full
 
Ulimtambulishaje kwa rafiki yako?

Lakini itakuwa wewe sio type yake. Pombe hunywi, nyama huli unazurura kutafuta nini viwanjani?
Ckia ww soma uelewe hapo demu nilishamset pia unapokuwa mlev demu mwenyewe akil anajua unamchota lkn sio akil zko ukiwa hunywi anajua una maanisha kuhusu kula nyama nipo ivyo maana izo nyama tumeenda kuzila sehemu moja uswaz balaa sahan ya plastik tena imechakaa jamaa alikuwa ashajua yule demu wngu maana mda wote upo began
 
Habar wadau !!! Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nap kwa tafadhal sn tena hasa hasa waleambao hawana shughuli zq kufanya street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana naejana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahpji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiumena gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh !!! Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud keshp nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavu ?
Nimejaribu kusoma sijaelewa
 
Ckia ww soma uelewe hapo demu nilishamset pia unapokuwa mlev demu mwenyewe akil anajua unamchota lkn sio akil zko ukiwa hunywi anajua una maanisha kuhusu kula nyama nipo ivyo maana izo nyama tumeenda kuzila sehemu moja uswaz balaa sahan ya plastik tena imechakaa jamaa alikuwa ashajua yule demu wngu maana mda wote upo began
Basi pole sana
 
Mademu wa Dar wanapenda sana pombe.

Na mlevi wa pombe ni kama teja, kiu ikimkaba hachagui. Ni arosto ile na ndio maana hata wewe alikukubalia pale pale.

Demu mlevi siyo demu.
Ndio sikutaka kumla nilikuwa namchange nilinunua hisia zke sikumnunulia bia na nilimshaur aache na kesho tukapime
 
Back
Top Bottom