Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

Yaani malaya uliyekutana naye usiku kwa masaa 2 akiwa amelewa ni rafiki yako tayari? Kwamba rafiki yako amekusaliti? Bado umelewa nini?
Habar wadau !!! Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nap kwa tafadhal sn tena hasa hasa waleambao hawana shughuli zq kufanya street boys

Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke no stpr kidogo ila nimefupisha ila nilikutana naejana io io ipo hv nilimuapproach ucku huo huo na alikubali tukawa km boyfriend na girlfriend ndan ya dk tu kuhusu nilimwambia nn mpaka tukawa in relationship kwa dk tu najua mm na nilimuweka waz kuwa nampenda lkn ucku ule hatutolala wote yy anakunywa bia mm cnywi akahpji why nikamwambia mpka tukapime akasema ok mda wote huo tulikuwa watu wanne mm uyo msichana rafik yngu wa kiumena gf wake

Sasa ikafika mda tukasema tuhame kiwanja tukale nyama kuna jamaa rafik yngu mwingine akapiga simu tumpitie ili tukale nae nyama tukapna isiwe kesi gar ipo tumpitie tu mmh !!! Tukampitia tukaenda nae kula nyama stor za apa na pale yule dada tukaenda nae mda wote huo alikuwa upo began kwangu hatoki na kudeka km kote

Tukaenda kula nyama tukarud mda wa kulala sasa haaah yule jamaa yngu kaenda kulala na demu mm nikamwambia uyu demu nakupa nauli nikusindikize adi wap urud wap urud nyumban akasema NO twende tukalale gest hata km hatutosex mm hme narud keshp nikaona isiwe kesi ngoja niende ndan nichukue chaji nisepe nae aisee ule jamaa tuliempitia tushamuaga aende akalale kumbe mwanga upo bado aisee natoka njedemu cmuon na nakutana na washikaji nawauliza hamjamuona demu apa wakasema kuna jamaa kavaa kapelo kaenda nae juu hv duh nikashangaaaa

Sasa huu ni urafik au upumbavu ?
 
Cjampa hata mia t mihogo amdange nan mm nilikuwa nampanga tu
Ndio maana akakuona we kolo unaleta mapenzi ya kweli wakati mwenzio yupo kazini.
Demu alishaona hapati kitu kwako wakati jamaa kamuahidi anachotaka wakaondoka.
 
Back
Top Bottom