Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Vipi nini kuhusu mungu?
Mungu gani?
Well well well
International herb is working here.
Vipi nini kuhusu mungu?
Mungu gani?
Katika framework gani?
Nini uelewa wako katika dhana ya Uungu(Mungu)?
Mungu yupo au hayupo?
Ili "mimi Kiranga" nikubali kuwa Mungu yupo, naweka vigezo hivi: 1...2...3...4.... Atakayetimiza vigezo hivi huyo ni Mungu.
Katika muktadha huo hapo juu.
Just a moment,...big bang theory.....1995.......impromptu lecture. Unajua mtu kuongelea kitu kama hicho kwa kawaida bila ya kua umejiandaa kimpangilio na katika mfumo rasmi inaonekana ulikua na uelewa wa hilo jambo. Hongera kwa kupenda kujisomea.
Umenifurahisha kwenye hiyo story yako, ni kama ulikua unaongea vitu vya kusadikika na watu wakasubiri mwalimu akukosoe ndio iwe pona yao kujiridhisha kwamba umeongea pumba, wakastaajabishwa na ukimya wa mwalimu kutokana na ukweli kwamba hata yeye hakua anajua hilo jambo achilia mbali kusikia.
Wengi hatuna utamaduni/utaratibu wa kupenda kujisomea na kutumia fursa mbalimbali za vyanzo vya habari.
Kwa ufupi, nimejifunza vitu vingi kutoka kwako kwa njia moja ama nyingine.
Nionyeshe tafsiri moja ya kitabu cha Bertrand Russell kwenye Kiswahili.
Tusiandikie mate na wino upo.
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
ukiangalia
* sunrise and sunset-ingekuwa na shape flat dunia nzima tungeexperience mchana na usiku kwa pamoja
kuna mdau kazungumzia safari..ukitoka point moja ukatravell non-stop in the same direction utajikuta umerudi palepale..hii ni
*circumnavigation of the earth
au nenda posta kaangalie meli ikiwa inakuja tokea mbali utaanza ona moshi..then bomba la moshi..mara hiyo meli nzimaa inatokea
*ship's visibility
ombea ubahatike kuona kupatwa kwa mwezi utaona kivuli/taswira ya dunia kilivyo duara tenge
*lunar/moon eclipse
au piga picha katika aerial/bird eye view utaona uduara wa taswira kimuonekano
*aerial photograph
kaa juu ya ghorofa then itazame taswira ya dunia hadi mwisho wa upeo wa macho yako..
.....*vertical horizon
......................
Mkuu kiranga una elimu gani ata kwa ukiniPM sio mbaya.. kwasababu watu wenye phd hawawezi debate na wewe.. mfano nina uhakika Dr kitika mkumbo yupo hapa janvini hawezi kudebate na wewe hata kidogo..
ulisomea nini philosophy,linguistics,geo-phisics,geography au nini hasa?
kama ni kuishi ulaya mbona william machela na chris wa jf hawana uwezo wa kureason kama wako
sisi wa kizazi hiki na ma mitandao na google tumeshindwa kuwa kama wewe.. je ni IQ kubwa kama ya wayaudi/jews.. yaani hatuwezi ata tukijosea sana..?
naomba majibu mkuu kiranga.. pia jf standard sio ndogo.. mbona kuna maprofessor wengi hapa jf nawajua.. ukiwataka nitawataja.. lakini wameshindwa kudhibitisha uwezo wao..
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
Kiranga anao uwezo mkubwa sana wa kukariri lakini kutafakari zero kabisa. Hoja ya uwepo wa Mungu ni ya zamani sana kiliko nadharia ninyi sana, tunajua kwamba Mungu ndiye artists wa artistic work inayoonekana kwenye ulimwengu , ndiye mathematicians aliyeweka constants zote Hata zile ambazo@kiranga amezikariri, ambazo ndizo nguzo kuu ya dunia kuwa na uhai, yeye ndiye arctecture na engineer wa Kila kilichopo dunia na ndiye mtengenezaji wa mifumo yote itendayo kazi mwilini mwa wanadamu na muweka parameters zote zinazoongoza uhai wetu. Anamkataa kuwepo kwake na ukimuuliza kumbe nini chanzo cha uhai, anaanza kushusha kariri zake pasipo kuelezea ujuzi wake umekomea wapi kujua chanzo cha uhai. Angekuwa na uwezo japo kidogo wa kutafakari angefanya makuu na ya ajabu hapa dunia Einstein angeachwa mbali sana naye .
Masikini uwezo wake unakomea kukariri tu...Bing Bang... Na ndoto za Darwin kuhusu evolution...
Tatizo hata kamusi tu ya kiswahili ina maneno au misamiati migumu sana lakini for the sake ya watu kuelewana huwa haitumiwi, hata mashuleni walimu hawaitumii.
Hali kadhalika kuna misamiati ya kiingereza na (au lugha zote) wenye lugha hawaitumii kutokana na ugumu wake au kutozoeleka katika jamii husika.
Wazungu/walatini au watalii huwa hawatumii bombastiki ka izo, cha ajabu wewe unaitumia.
Mungu gani?
Mungu ni nini/nani?
Ndefu sana nimeshindwa kusoma.
Mungu gani?
Mungu ni nini/nani?
Tushaondoka kwenye "bombastiki" zangu, tunaongelea tafsiri za kazi za Bertrand Russell.
Ushawahi kusoma kazi zake katika Kiswahili?
Kuna gazeti gani la kada ya kimataifa la kiingereza unasoma?
Prove your gender to us?
Are you a female or a male?
Subirini mapovu yaanze.
That is affirmative. She will never answer you despite repeated demands.