I have debunked point number one umpteenth times before here.
If everything complex will need a creator, then that creator will necessarily need to be more complex than the created.
Following that line of logic, if god created all these complex things, god himself will be complex and will need a creator, a more complex creator, and his creator will need an even more complex creator, ad infinitum, ad absurdum.
Biblia haiwezi kuwa ni kitabu cha mungu kwa sababu ina makosa mengi sana ya kibinadamu. Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote anatakiwa awe efficient zaidi katika ku communicate ujumbe wake kukiko hii series ya contradictions unayoita biblia. And why the bible, not the Quran, Bhagavad Gita, books from Dhammapada, Confucianism, Taoism etc?
Kama unaona binadamu anaweza kuzidiwa na mungu, mungu anaweza kuzidiwa na mungu wake, kitu kitakachomfanya mungu asiwe mungu kwa maana ya muumba wa vyote. Hapa tunarudi kwenye aspects za point 1 above. Kwa nini mungu ndiye awe gold standard na asiwe na muumba wake?