Dunia sio duara!

Dunia sio duara!

hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Kumbe siku hizi ugoro unalewesha.
 
wanasema ukimtukana mzazi unapata rahana je umewahi kuhakikisha,jifunze kupinga kwa hoja kama wanasayansi wanavyosema dunia ni duara kweli wanakupa viashiria vya kutosha sio wewe unabisha bila hoja.
 
wanasema ukimtukana mzazi unapata rahana je umewahi kuhakikisha,jifunze kupinga kwa hoja kama wanasayansi wanavyosema dunia ni duara kweli wanakupa viashiria vya kutosha sio wewe unabisha bila hoja.
Kama dunia ingekua tambarare tusingekua na tofauti ya masaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine wala kusingekuwepo kwa usiku na mchana.
 
Boss mi nakubaliana kabisa na mzunguko yote ya East-West na west - East uloisema na miisho yake. Mawazo yangu hiyo bado haithibitishi sana uduara wa dunia, naona ni sawa na kukizunguka kisiwa East West ni lazima urudi point uliyoanzia. Sina uhakika sana lakini mpaka sasa hivi bado sijathibitishiwa kwamba kuna mtafiti yeyote aliyeizunguka dunia from North pole to South pole ama kwa ndege, au chombo chochote kile ili atuthibitishie kuwa dunia ni spherical East - West na South - North.
 
Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????

Boss mi nakubaliana kabisa na mzunguko yote ya East-West na west - East uloisema na miisho yake. Mawazo yangu hiyo bado haithibitishi sana uduara wa dunia, naona ni sawa na kukizunguka kisiwa East West ni lazima urudi point uliyoanzia. Sina uhakika sana lakini mpaka sasa hivi bado sijathibitishiwa kwamba kuna mtafiti yeyote aliyeizunguka dunia from North pole to South pole ama kwa ndege, au chombo chochote kile ili atuthibitishie kuwa dunia ni spherical East - West na South - North.
 
Poa, lakini usiniache gizani bila kunijuza kitu boss. Nijulishe kama wajua mtafiti aliyekwisha izunguka dunia South North na akarejea point aliyoanzia safari.
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Kuna mahali ulienda ukahakikisha kuwa dunia sio duara na wewe??
 
Tafiti zinapingwa kwa tafiti na sio maneno tu ya kukonect walivyoongea watu..

Siku ukienda kwenye space na kutupigia picha ya dunia flat basi na mimi ntakuunga mkono kwenye Imani yako...lakini kwa sasa nitawaamini waliofanya tafiti na kuzipublish kwamba dunia ni duara
 
Write your reply...kwani mnaosema dunia tufe, nikifika south Africa na nikanyoosha kwenda kusini huku nikiwa nimenyoosha mstari ni uhakika kwamba nitarudi South Africa?? je kwanini hakuna root ya Russia to USA bila kupitia anga la ulaya??? kwanini wasizunguke nyuma ya tufe wafike??? ulishawahi kujiuliza kwanini huwezi kutoka Brazil moja kwa moja kwenda china bila kuvuka Africa??? kwanini usipitie nyuma ya tufe ukatue China?? nyie NASA muda wenu unahesabika.
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Zile picha wanazopiga zinapigwa na camera yenye "fish eye" lens ndo maana dunia inaonekana kama tufe.

Dunia ipo flat.
 
ukiangalia
* sunrise and sunset-ingekuwa na shape flat dunia nzima tungeexperience mchana na usiku kwa pamoja
kuna mdau kazungumzia safari..ukitoka point moja ukatravell non-stop in the same direction utajikuta umerudi palepale..hii ni
*circumnavigation of the earth
au nenda posta kaangalie meli ikiwa inakuja tokea mbali utaanza ona moshi..then bomba la moshi..mara hiyo meli nzimaa inatokea

*ship's visibility
ombea ubahatike kuona kupatwa kwa mwezi utaona kivuli/taswira ya dunia kilivyo duara tenge
*lunar/moon eclipse
au piga picha katika aerial/bird eye view utaona uduara wa taswira kimuonekano
*aerial photograph
kaa juu ya ghorofa then itazame taswira ya dunia hadi mwisho wa upeo wa macho yako..
.....*vertical horizon
......................
Je ni kwanini mshale upo kwenye saa ya mkononi au ukutani hlakini haugusi namba zote kwa wakati mmoja?? we elewa tunapata usiku na mchana kwa sababu jua ni taa ndogo haiwezi kumulika dunia kwa mpigo inamulika huku ikizunguka, yaan kama mshale unavozunguka kutupa majira ya saa na dk ndiyo jua hutupa siku week mwezi na mwaka.
 
Zile picha wanazopiga zinapigwa na camera yenye "fish eye" lens ndo maana dunia inaonekana kama tufe.

Dunia ipo flat.
...wanadanganya dunia ni duara ili wapate faida gani mkuu ?
 
Back
Top Bottom