Dunia sio duara!

Dunia sio duara!

Labda tuanze kwa kujuzana nini maana ya duara au circle? kikawaida katika duara, umbali kutoka point moja mpaka centre ni sawa katika kila point(every point being equidistant from the center point)!!
Je umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia (center of the earth) ni sawa na umbali kutoka kwenye poles (sourth na north pole)??? Jibu ni kwamba havipo sawa kwani umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia ni kilomita 21 tofauti na kutoka kwenye poles!!! Mpaka hapa tunaeza ona kwamba dunia sio duara!!!



Lakini tukiangalia publish na tafiti mbali mbali pia tunaeza ona umbo halisi la dunia sio duara wala tufe!! Tukitumia tu uelewa wa kawaida, embu tuangalie uwepo wa mabonde, milima ,mito, maziwa kwenye uso wa dunia, je bado tutashawishika kwamba dunia ni tufe au duara??

Ki uhalisia ni kwamba umbo la dunia sio halisi (irregular shape) au kwa lugha nyingine tunaeza sema ni ni bumpy shape!!


Hii dhana ya kusema dunia ni duara imetoka wapi hasa??

Wanasayansi wamechukulia dunia ni sphere kama model tu (na ifaamike kuna model kama mbili zaidi) ambazo wao wanazitumia katika kufanya mahesabu na tafiti mbali mbali mfano kuchora ramani, kutafuta umbali kutoka point moja mpaka nyingine, na mahesabu mbali mbali yanayohusu kani mvutano(force of gravity) ila ki uhalisia tunaposema dunia ni sphere au circle hizo ni “model which present the shape of the earth ambazo zimewekwa kurahisisha tafiti na hesabu (calculations)" na kiuhalisia umbo la dunia sio sphere wala duara bali ni “irregular au bumpy shape”...

Kama tunavyoweza kuona kwenye picha hiyo ndio shape halisi ya dunia… tuanaweza kuona milima ,mabonde na vitu vingine vilivyopo kwenye uso wa dunia!!!

Nikueleze tu kuwa sitajibizana na wewe tena. Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!
 
Nikueleze tu kuwa sitajibizana

Kwani hapa tunabishana/jibizana?
Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!
Absolutely... niko sawa kabisa!!

Labda tumepishana tu, naamini umeni quote kimakosa!! labda unisaidie nini ambacho hujaelewa?
 
Nikueleze tu kuwa sitajibizana na wewe tena. Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!

Mkuu ni kitu gani kimekufanya ukamuuliza huyu jamaa swali hili?
 
:what:
 

Attachments

  • 1397848174037.jpg
    1397848174037.jpg
    95.1 KB · Views: 564
1.circumnavigation of the earth
2.Ship visibility
3.Sun set and Sun rise
4.Lunnar Eclipse
5.Aerial Photograph
6.Earth's curved horizon.
 
Mkuu si ndio wewe ulimpiga picha jini sijui mlikutania wapi?
 
Mkuu niliwahi kusikia kuna tour za kwenda kwenye space na gharama yake si Chini ya dola mil. 50. Fanya kazi, tafuta hizo pesa ukahakikishe
 
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
Hapana mkuu sisi tupo nje ya Dunia na siyo ndani.....mfano wa mpira tupo nje na si ndani.....kwani ndani ni udongo...........
 
Yaani kwenye huu uzi nimecheka mpaka nahisi kuumwa lol.

Huyu mleta mada ukimuita kwa jinsia yake hatoikubari mpaka kwanza ajichungulie katikati ya miguu yake pako vipi ndio aitike.
 
Worry not.
You are in the first step of learning how to make low level arguments.At first I thought you knew the meaning of 'imebainika'
 
Nyie chezeni tu mtakuja kukosa na swali la darasa la kwanza.Hebu niwaulize
1-1=?
 
Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????

hii kitu inaitwa "circumnavigation of the earth"
 
ukiangalia
* sunrise and sunset-ingekuwa na shape flat dunia nzima tungeexperience mchana na usiku kwa pamoja
kuna mdau kazungumzia safari..ukitoka point moja ukatravell non-stop in the same direction utajikuta umerudi palepale..hii ni
*circumnavigation of the earth
au nenda posta kaangalie meli ikiwa inakuja tokea mbali utaanza ona moshi..then bomba la moshi..mara hiyo meli nzimaa inatokea
*ship's visibility
ombea ubahatike kuona kupatwa kwa mwezi utaona kivuli/taswira ya dunia kilivyo duara tenge
*lunar/moon eclipse
au piga picha katika aerial/bird eye view utaona uduara wa taswira kimuonekano
*aerial photograph
kaa juu ya ghorofa then itazame taswira ya dunia hadi mwisho wa upeo wa macho yako..
.....*vertical horizon
......................
 
Back
Top Bottom