Dunia sio duara!

Dunia sio duara!

Umeshindwa kuelewa hiyo lugha nyepesi halafu unataka kujadili falsafa ya theolojia?

Nikianza kuchanganya kilatini na kuandika "argumentum non sequitur" je, utasemaje ?

Mkuu tatzo lako ndo hlo mm cna tatzo na mchango wako bt hutaki kujb, kwan kunashida gan kuuliza kwa lugha rahic! Ok jb swal langu ss ww umetokana na sokwe au?
 
Most of the high philosophy of religion discussion in print today is not translated into Swahili, it is in English.

If you don't know English you do not have a prerequisite tool to even start discussing these matters.

How are you going to discuss Aquinas, Augustine, Lord Russell or Dawkins if you can't read English?

You are not on my level, learn the basics first.
 
Most of the high philosophy of religion discussion in print today is not translated into Swahili, it is in English.

If you don't know English you do not have a prrrquisite tool to even start discussing these matters.
I think something is wrong in your mind! C bure mkuu!nkupe taarifa kuwa tafsir zipo na watu wanazisoma, tatzo n wa2 kama ww ambao hawatosheki.
 
Nionyeshe tafsiri moja ya kitabu cha Bertrand Russell kwenye Kiswahili.

Tusiandikie mate na wino upo.
 
kwa kauli hii Unaweza kusema pia huna ubongo kwa kuwa hujauona. kwa hiyo utafanya jaribio la kutoboa kichwa ili ushuhudie
 
Mkuu upo juu kwa kukwepa maswl ya msingi, wakati mweingine kutoa elim kwa mtu kama ww inahitaji uwe na moyo wa nyama sana. Ila tu unapaswa kuamini kuwa MUNGU yupo ambae alituumba sisi wote na vitu vyote, na DUnia ni sehem sashihi ambapo MUNGU amepaumba ili binadamu waishi kabla ya YESU kuja kutuchukua kwenda mbinguni....
 
Umesema tafsiri zipo, nimekuomba unipe tafsiri ya kitabu kimoja cha Bertrand Russell katika kiswahili, hujajibu.

Kati yangu niliyekuuliza unipe tafsiri na wewe unayerukaruka bila hata kukubali kwmba hakuna tafsiri, nani anakwepa maswali hapa?
 
M nakwepa maswl ila ww unakwepa hoja..
 
Nilifikiri hujui kingereza tu, kumbe hata kiswahili hujui.
Mkuu umenichekesha sana kumbe hiki ni kindengereko? Ckukuu njema hii ndo dunia umebisha au umekataa. Kama unawatoto jipange kuwa mwl wao maana wakienda shule tu watafundishwa kuwa dunia ni duara,na ni halisi
 
Dunia is duara only if you are a simpleton.

Hujui kiswahili, kiingereza, apparently hata kusoma hujui.
 
Dunia is duara only if you are a simpleton.

Hujui kiswahiki, kiingereza, apparently hata kusoma hujui.

atheism.png
 
Kuna vichaa wengine kama huyo wapo kwenye ignore list.

Hata sioni wanachoandika.

Na hata wakijibadilisha majina mara mia nawajua tu.
Wa kwenye ignore list ulijua kapost. Aisee kumbe wapo wengi wanao okota makopo

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom