The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
But of course that is a basic Machiavellian rule.
One ought not overexpose oneself unduly.
I am not going to overtax my cycles on the finer points of zero government with a country bumpkin.
Just a moment,...big bang theory.....1995.......impromptu lecture. Unajua mtu kuongelea kitu kama hicho kwa kawaida bila ya kua umejiandaa kimpangilio na katika mfumo rasmi inaonekana ulikua na uelewa wa hilo jambo. Hongera kwa kupenda kujisomea.
Umenifurahisha kwenye hiyo story yako, ni kama ulikua unaongea vitu vya kusadikika na watu wakasubiri mwalimu akukosoe ndio iwe pona yao kujiridhisha kwamba umeongea pumba, wakastaajabishwa na ukimya wa mwalimu kutokana na ukweli kwamba hata yeye hakua anajua hilo jambo achilia mbali kusikia.
Wengi hatuna utamaduni/utaratibu wa kupenda kujisomea na kutumia fursa mbalimbali za vyanzo vya habari.
Kwa ufupi, nimejifunza vitu vingi kutoka kwako kwa njia moja ama nyingine.