Dunia sio duara!

Dunia sio duara!

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,235
Reaction score
1,273
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
 
Hahahaha hhahahh na utakufa hujawahi fika

Maana kule huendi kwa maneno pekee

Sayansi huwa kuna evidence kwahiyo hawawezi kufanya kitu bila ushahidi wenyewe
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Sio siri umevurugwa mkuu!
 
Okay,kindly let us know of ur findings when ur back
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Aliekuzuia kwenda ni nani, mbona huendi?
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

hakuna alokufundisha kuwa dunia ni mduara umeamua kutumia ujinga wako kusema hivyo.kwa ufupi dunia ina umbo la tufe nikufute tu ujinga
 
Unaitaji Msamamizi wa kuwa karibu yak0 Mkuu kwan unakoelekea unataka kuchizika au umevurugwa na mwalimu wako wa jografia std iv
 
Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

wew kama sio miongon mwa waliokosa posho bas itakuwa bahati sana
 
Afadhali kwanza umeamini kama kitu dunia kipo, ungesema hakuna dunia sijui tungeanzaje. Dunia ni umbo la yai linalojizungusha lenyewe mizunguko miwili tofauti kwa wakati mmoja
 
Hebu angalia jua linapochomoza, then lifuatilie hadi linavyozama, utabaini mwenendo wa jua wa kiduara-duara(tufe)
 
We nenda tu kahakikishe mbona rahisi tu.
 
Back
Top Bottom