Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
Nisaidie kaka hiyo aya inayosema Dunia inazunguka.
Wa huwa lladhi khalaqa allailia wa nnahaara washhamsa waalqamara kullu fii FALAKIN YASHBAHUUN. (21:33).
Nisaidie kaka hiyo aya inayosema Dunia inazunguka.
Wa huwa lladhi khalaqa allailia wa nnahaara washhamsa waalqamara kullu fii FALAKIN YASHBAHUUN. (21:33).
Nakuuliza swali,vipi Sayansi inapooingana na Qur'aan unachukua lipi ?
Soma tarjama ya aya hiyo hapa chini.
Anasema Allah aliye juu :
33. Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. (al Anbiyaa : 33 )
Sijaona hapo dunia iko wapi ?
Mfano, "the Big bang"--- Qur'an ilishaieleza kabla ya hao wanasayansi, na labda huyo mwanasayansi alisoma kwanza Qur'an ndipo akaja na hiyo theory.
Jitahidi uwe unaandika matini yenyewe ya kiarabu au tarjama yake,ili kuepusha makosa ya kiandishi.Neno "yashbauun" pia lina maana ya kuzunguka, (revolve/orbiting).
Qur'an ndiyo ya kufuatwa kwanza, na wanasayansi wote walioifuta Qur'an siku zote waliibuka kidedea, kumbuka Sayansi inahusisha tafiti mbalimbali, lakini misingi yake inaweza kupatikana kutoka ndani ya Qur'an. Qur'an inaweka misingi tu.
Mfano, "the Big bang"--- Qur'an ilishaieleza kabla ya hao wanasayansi, na labda huyo mwanasayansi alisoma kwanza Qur'an ndipo akaja na hiyo theory.
Jitahidi uwe unaandika matini yenyewe ya kiarabu au tarjama yake,ili kuepusha makosa ya kiandishi.
Hapo ukisoma inaonyesha umeweka "Shiin" badala ya "Siin" kama ilivyokuja katika aya. Yaani ni " يَسْبَحُونَ ". Pia naona kwenye " Haau" umeweka "Hamza".
Sasa hapo vinavyozunguka katika vituo vyake ni dunia au jua na mwezi ? Aya iko wazi inazungumzia Jua na Mwezi. Nataka unionyeshe wapi Qur'aan imesema Dunia inazunguka ?
Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.
Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?
Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?
Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?
Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?
Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii
Mokaze
Shark
AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe
YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana Jua halizunguki hili weka akilini.
Kaka naona unapata tabu sana,kwa kulazimisha mambo sio kweli,kwanza aya tunayo ijadili haionyeshi ya kuwa Dunia inazunguka,hapa hata nikupe miaka mia.Kwakuwa usiku na mchana vivyotajwa kwenye hiyo aya hutokea hapa duniani na tafiti za kisayansi zimethibitisha hilo kwamba dunia inajizungusha kwenye yenyewe na kuzunguka jua basi Wanadayansi wapo sahihi kwa mujibu wa hii aya 21:33.
Kaka naona unapata tabu sana,kwa kulazimisha mambo sio kweli,kwanza aya tunayo ijadili haionyeshi ya kuwa Dunia inazunguka,hapa hata nikupe miaka mia.
Nikikuuliza huo usiku na mchana unatokeaje,nalo litakuwa swali gumu kwako.
Allah aliye juu anasema :
5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! ( az Zumar : 5 )
Sasa kazi ninayo kupa sasa hivi ni utuwekee hizo ithibati za kisayansi zinazo onyesha Dunia inazunguka.
Sijaona haja ya kutaja kiwango changu cha elimu,sababu "secular education" haimsaidii mtu kuelewa mambo au kutoelewa mambo,sababu kuna mambo magumu tunayaelewa kuliko haya.Kaka, kabla sijakuwekea hizo ithibati za kisayansi ningependa kujua katika elimu ya kimazingira (secular education ) ulifika wapi, shule ya msingi, shule ya sekondari o/A level, au kiwango cha chuo ??, samahani kwa kukuuliza hilo swali kama litakuchukiza, lengo ni kwamba kwa kujua kiwango cha elimu yako nitajua nianze wapi kukufahamisha kwamba Dunia inajizungusha na pia inazunguka jua kupitia "falaki" (orbit) kama jinsi Qur'an inavyosema- ninasema hivyo kwakuwa usiku na mchana vinatokea hapa duniani, na tafiti za kisayansi kupitia nyenzo kama satellites, Telescope, na vyombo vya anga za juu vime-prove kwamba dunia ina-- revolve/rotates..
Sijaona haja ya kutaja kiwango changu cha elimu,sababu "secular education" haimsaidii mtu kuelewa mambo au kutoelewa mambo,sababu kuna mambo magumu tunayaelewa kuliko haya.
Kwanza kabla ya kuongelea Sayansi ulitakiwa ujue madhaifu na mipaka ya Sayansi,lakini hili unaonekana limekupita,sasa ulitakiwa kabla ya kujadiliana na mimi ujue misingi ya Sayansi ni nini ? Kwahiyo usitafute kichaka,jibu maswali yangu.
Nimekupa kazi unionyeshe ni aya gani inayo onyesha Dunia inajizungusha katika muhimili wake,unaleta aya kando kabisa kisha unahitimisha kwa kauli dhaifu sana.
Kitu kingine ninacho kushauri ni kuwa uwe unasoma tafsiri ya Qur'aan katika vitabu vyenye kutegemewa.
Kwanza nakuuliza swali dogo,huwa unasoma Tafsiri gani ya Qur'aan ?
Shule muhimu sana,bado nasisitiza ya kuwa huna haja ya wewe kujua nina kiwango gani cha elimu,sababu haitabadilisha kitu.Unauliza ni tafsiri ipi ya Qur'an ninaisoma??!!, na mimi nakuuliza Mtume mtukufu (saw) alisema tusoma tafsri ipi na ya nani??-- nijibu hapo nami nitakujibu.
kuna uwezekano mkubwa sana wa kuwa hata dunia inazunguka hasa kwa mujibu wa Qurani.Kaka naona unapata tabu sana,kwa kulazimisha mambo sio kweli,kwanza aya tunayo ijadili haionyeshi ya kuwa Dunia inazunguka,hapa hata nikupe miaka mia.
Nikikuuliza huo usiku na mchana unatokeaje,nalo litakuwa swali gumu kwako.
Allah aliye juu anasema :
5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! ( az Zumar : 5 )
Sasa kazi ninayo kupa sasa hivi ni utuwekee hizo ithibati za kisayansi zinazo onyesha Dunia inazunguka.
Kaka naanzia hapa,kwani kutembea kwa mawingu ndio kunaonyesha mbingu inatembea ?nakama ardhi namilima inakwenda (inazunguka) inabidi iwe imara ili isiyumbe yumbe kwa maana ya kuwa ikiwa nyepesi basi inaweza kuwa UNSTABLE katika mwendo wake.
Haya mambo mepesi sana,nawauliza maswali kwanza kabla ya kuleta maana ya hizo aya.na hilo tunaona hata katika magari gari ikiwa na mwendo mkubwa na ikawa nyepesi basi haitulizani, ila ikiwa nzito gari na mw3ndo mrefu inakwenda bila shida waakuyumba yumba.
sijui inaelekea wapi.Haya mambo mepesi sana,nawauliza maswali kwanza kabla ya kuleta maana ya hizo aya.
Unaweza kuniambia uelekeoa wa Dunia ikiwa inazunguka ni upi ?
Je dunia inaelea au haielei ?