Haina afya ktk utumishi wa umma, nampenda Magufuli ila aina hii ya utumbuwaji kiukweli inashusha iman kwa watu wenye akili nakupoteza sifa ya sheria zetu. Haki yakusikilizwa na kujieleza.".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais; Mama unaelimu gani?
Mteule; Nina masters in Public administration.
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*







