Dunia inakwenda kasi sana

Dunia inakwenda kasi sana

Hapa katumia mihemko,amekua kama mpiga debe anaropoka tu,kwanini asingemtumbua kistarabu,mengine yangebaki siri ya office..Karopoka tu ajui madhara yake..
Huyo jamaa anazungukwa na jamii kubwa,inamwangaliaje?
Chanzo cha kuivunja familia ya huyo jamaa,inawezekana mke alikua hajui hayo maovu ya mmewe sasa kajua pamoja na jamii nzima,mama anaificha wapi sura yake,jamii inamwangaliaje?
Vipi atavumilia kukaa na mume mzinzi? (japo sidhani kama wana ushahid)
Je ndoa ikivunjika ni nan anaumia?si mwanamke na watoto?
Hapa jiwe kabugi.
Grave mistake!
 
Sawa hata mimi nasapoti kutumbuliwa,lakini ushahidi thabiti upo?alihojiwa na kupewa nafas ya kujieleza?huenda kuna mambo yako nyuma ya pazia hakuna anayejua.
Nafasi ya kusikilizwa alipewa ndyo maana Rais kasema alimuonya mara kadhaa lakin bado hakusikia
 
".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"

RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.

Rais; Mama unaelimu gani?

Mteule; Nina masters in Public administration.

Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa.
Yesu (voice ).mama inuka kuanzia leo dhambi zako zimesamehewa
😁😁😁watu na mamlaka yao.
 
Mazoea yanaleta dharauView attachment 1491329View attachment 1491330
IMG-20200628-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom