Dunia inakwenda kasi sana

Dunia inakwenda kasi sana

Hakuna tukio linalotokea kwa bahati mbaya eneo alilopo mkuu wa nchi kila kitu ni Planned na Scripted ipo team kwa kazi hiyo
 
Kwa Akili yako unaweza kudhani kuwa huyo DAS hakusikilizwa... Ukimsikiliza Mh rais amesema kuwa ALIMUONYA MARA KADHAA KUACHA HIYO TABIA LAKINI IKAONEKANA HAREKEBISHIKI (KIBURI/ALILEMAZWA NA TABIA YAANI ALIKUWA ADDICTED)

Kwa hiyo ni wazi kuwa alipewa haki ya kusikilizwa unayoisema... msipende kuzodoa vtu msivyovijua... Rais yuko sahihi

Kuhusu kuteua papo hapo... kwa akili za watu wengi wanaweza kudhan kuwa Rais Amefanya uamuzi pale pale

Kumbe huenda uamuzi ulishafanywa na uteuzi ulishafanyika ilikuwa bado kutangaza tu

Msijifanye mna akili kuliko Rais


Amefanya uamuzi halali na wa kisheria... labda mmekuwa wagen wa staili anayotumia... Rais wetu ni msema kweli na hapendelei wala kuonea watu. Ukiona umetumbuliwa ujue umefeli kwenye nafasi yako. Ukionywa badilika
Naona umeandika upupu wako hapa. Magufuli haeshimu ubinadamu wa watu wengine
 
Sisi tunaokaa huku kisarawe ndiyo tunajua kwanini jamaa katolewa, jamaa alikuwa anatoka na mtendaji kata mpaka kuhatarisha ndoa ya huyo mdada. Kiukweli huyo Dada ni pini balaa. Kwahiyo hayo mnayo fikiria ni soga tu, jamaa cheo kilimlevya. Kwa upande mwingine huyo mama aliyeteuliwa ni mchapakazi, pia sio mjivuni kama jamaa. Ukitaka kumjua jamaa mtafute staff yeyote wa kisarawe atakwambia sifa zake.
Sijaongeza hata nukta mimi nimenukuu kama ilivyo.. Na wala sikufanya uchambuzi wowote
 
Naona umeandika upupu wako hapa. Magufuli haeshimu ubinadamu wa watu wengine
Wote ni sawa alietenguliwa na mtenguaji, maana mkubwa hajaeshim ubinadam kwa kumtaja hadharani tabia zake mtuhumiwa, na mtuhumiwa nae amuheshim ubinadam wa watu wengne kwa kula wake zao (kama ni kweli).
Siku ukiliwa mke wako ndio utajua ni fedhehea ya namna gani unaipata ni sawa na kuvuliwa nguo utembezwe barabaran.
 
Wote ni sawa alietenguliwa na mtenguaji, maana mkubwa hajaeshim ubinadam kwa kumtaja hadharani tabia zake mtuhumiwa, na mtuhumiwa nae amuheshim ubinadam wa watu wengne kwa kula wake zao (kama ni kweli).
Siku ukiliwa mke wako ndio utajua ni fedhehea ya namna gani unaipata ni sawa na kuvuliwa nguo utembezwe barabaran.
Fair play
 
Hapa katumia mihemko,amekua kama mpiga debe anaropoka tu,kwanini asingemtumbua kistarabu,mengine yangebaki siri ya office..Karopoka tu ajui madhara yake..
Huyo jamaa anazungukwa na jamii kubwa,inamwangaliaje?
Chanzo cha kuivunja familia ya huyo jamaa,inawezekana mke alikua hajui hayo maovu ya mmewe sasa kajua pamoja na jamii nzima,mama anaificha wapi sura yake,jamii inamwangaliaje?
Vipi atavumilia kukaa na mume mzinzi? (japo sidhani kama wana ushahid)
Je ndoa ikivunjika ni nan anaumia?si mwanamke na watoto?
Hapa jiwe kabugi.
Kiongozi umeandika ya msingi sana ila kwa wale wenye mihemuko ya kichama bado wataona unamnyima sifa za kutukuka yesu wao
 
Kwangu Mimi nimeona Kama Drama. Ili watu wawe kwenye Peak trending.
 
FB_IMG_15934353838510435.jpg
 
Back
Top Bottom