Ukishasema story teyari hapo ni unazungumzia issue za kuambiwa kwa mambo yeyote yale, hata mimi nikija hapa nikaeleza experience kuhusu uchawi kwenu nyie inakuwa story na ndio maana nasema ingekuwa vyema mngekuwa na experience zenu katika hili kuliko kuishia kutolea maoni mambo ya kusikia tu.
Kama utakuwa unasema uchawi ni issue ya masimulizi tu hakuna wahusika wenyewe, basi uganga usingekuwa deal kiasi cha kuona idadi kubwa ya watu kufungua ofisi za uganga kama uchawi ni issue ya masimulizi tu kwa maana kusingekuwa na watu wenye kwenda huko kwa waganga kwa issue za uchawi..