Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

Mtoa mada nlpat hisia kukutukan lakn samehe

Jinsi ulivyoelezea mimba kuwa nini na nini bila kumuelezea alitia mimba nae anA haki ya kuendelee kuw kitaa hapo ndio nmeon story haiko balance


NB:- pia hawa wenye mimba na walioza inabd kuw na shule zao maalum.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada nlpat hisia kukutukan lakn samehe

Jinsi ulivyoelezea mimba kuwa nini na nini bila kumuelezea alitia mimba nae anA haki ya kuendelee kuw kitaa hapo ndio nmeon story haiko balance...
Balance iko kwenye kutia mamba nawewe jela miaka 30
 
Tumegawanyika saba kuhusu kipi kilicho sahihi. Lakini kumnyima mtoto shule kwa sababu ya mimba hiki ni kifungo cha maisha...
Basi wanaowapa mimba hao watoto wa kike wasifungwe miaka 30 nao wasamehewe
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Back
Top Bottom