Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Mimba ni dalili ya ukamilifu na utimilifu wa kizazi cha mwanamke.
Wewe utakuwa Ni mwakilishi was shetani dunia , sure 💯, uwezi ukaruhusu uzinzi, hii kauliyoka hip juu sio mzuri hata kidogo Mimi binafsi sijaikubaliana, uwezi SEMA maneno hayo mbele ya wanafunzi wa kike,
Kauli yako hip inachochea watoto wa kutafuta mimba kabla ya wakati.
😬😬😬😤😤😡😡😠😠
 
Mimi nakumbuka kipindi nipo shule walimu mkuu alikuwa anafundisha kupata ujauzito au kusababisha ujauzito Ni kosa linalomfanya mwanafunzu kufukuzwa shule.
 
Unajua hii concept wengi sana inawachanganya.

Tumeruhusu wajawazito kurudi shule sawa inawezekana ni uamuzi mzuri, lakini je ni sawa kwa binti mdogo mwanafunzi kupewa ujauzito na kuzalishwa au kufanya ngono? Hapa ndio kwenye concept na failure za wasomi wetu.

Juhudi gani kali tumefanya sasa kuwalinda hawa mabinti na ujauzito na kufanya haya matukio kuwa negligible, iko wapi mikakati kutoka ustawi wa jamii, elimu, mambo ya ndani nk kuhakikisha hawa mabinti wanakuwa salama katika kila nyanja kuanzia kitabia na kimaadili?
Mkuu sure 💯 Serikali hawajafanya juhudi zozote zile, za kuzuia ujauzito mashuleni Hakuna hata juhudi zozote zile , uwa Ni mashilika binafsi ndo wanafanya juhudi kuwaelimisha wanafunzi.
 
Juhudi zimefanyika na nikubwa sana, Ukitaka kujua wewe mpe Mwanafunzi mimba ndio utaziona juhudi za Serikali
So tell me , hao wa 6500 wanaume umewafanya Nini, kwa taarifa tuu nazojua Mimi kesi za watoto kupata mimba shuleni zinazofika mahakamani Ni 5% tuu , hizo 95% zimeishia wapi?
 
Wazazi tuu asilimia kubwa binti akipewa ujauzito , wazazi wanakuatana wanayamaliza na walimu tuu, Mimi nimeshudia hio, wanaogopa mtoto atalelewa na Nani , Kuna mzazi anaependa kumuona mwanae wa kike anaangaika na mtoto pekea, bila baba.
 
Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana hawa mabinti wameruhusiwa ili aliyeruhusu apate "mchongo" wa kupiga pesa za WB na sio kwamba anawapenda hao mabinti!
Ukishazaa umepoteza sifa za kuitwa binti Sasa mleta mda sijamuelewa.
Japo naunga mkono kuhusu kurudi shuleni ,
Ila wanachoniuzi mimi wanadili na matokeo.
 
Kizazi cha uzinifu kinahalalishwa halafu tunaomba MUNGU atupe Mvua, Umeme, Afya n.kDunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers labda kama ni miungu ya zamani hapo sawa
Kuna maneo flani hivi mleta madam kayaandika ,
Anasema mimba sijui niukamilifu wa kizazi Cha mwanamke , sijui mimba Ni Kama Nini , sijui Ni Nini na Nini.
Nimemuambia kea maneno yako hayo ukisema kwa wanafunzi wewe Ni MTUMISHI AU MWAKILISHI WA LUCIFER.
 
Sote tunafahamu,Mimba sio ugonjwa, Mimba sio kilema,Mimba sio laana ,Mimba ni dalili ya ukamilifu na utimilifu wa kizazi cha mwanamke.

Lakini pia, Mimba ni baraka ya Uzao toka kwa Mungu iweje iwe laana?
Mimba bila utaratibu ni laana.
Usimsingizie MUNGU mambo ya uongo.
MUNGU aliposema watu wakazaliane hakusema wazaliane hovyo hovyo bila ya kufuata taratibu za ndoa.

Biblia inasema wazi kabisa kuwa mtoto anayezaliwa nje ya ndoa ni "mtoto wa haramu".

Ifike mahala tuwe na heshima kwenye Maandiko ya MUNGU na kamwe tusilete "siasa" kwenye Maandiko ya MUNGU.
 
Mimba bila utaratibu ni laana.
Usimsingizie MUNGU mambo ya uongo.
MUNGU aliposema watu wakazaliane hakusema wazaliane hovyo hovyo bila ya kufuata taratibu za ndoa.

Biblia inasema wazi kabisa kuwa mtoto anayezaliwa nje ya ndoa ni "mtoto wa haramu".

Ifike mahala tuwe na heshima kwenye Maandiko ya MUNGU na kamwe tusilete "siasa" kwenye Maandiko ya MUNGU.
Daaah
 
Yeye ndio tatizo, Tuwaogope tu hawa watoto
Mkuu ngoja nikuulize swali hili.
Kama binti akimpenda kijana yeye mwenyewe na kumtafuta yule kijana na kufanikiwa kuingia kwenye mahusiano, lakini binti alimdanganya kijana kuhusu umri na pia alimdanganya kuwa yeye SI mwanafunzi, lakini binti akapata ujauzito,
Vipi kuhusu mahakamani uwamuzi wao utakuwaje na Kama mahakamani wakasibitisha kuwa binti alimdanganya kuhusu umri wake,
Kesi Kama hii inakuwaje.
 
Back
Top Bottom