Dunia hii

Dunia hii

Straight to judge asaini divorce.
Mambo ya shida na raha kwa kesi hii yatakaa pembeni
Why divorce?
Si amefanyia mwili wake na viungo vyake kwani vya mkewe?
Kama ni dhambi atahukumiwa huyo mume alone hakunaga hukumu ya kurithishana ......
Amshauri tu kuacha na kama hataki amtizame tu atajijua na majanga yake..
 
Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon AmerisourceBergen kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja mbele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.

Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.

Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile

Ungempa ushauri gani?
Naomba msaada kujua ni kiporo gani alienda kupasha?
 
Why divorce?
Si amefanyia mwili wake na viungo vyake kwani vya mkewe?
Kama ni dhambi atahukumiwa huyo mume alone hakunaga hukumu ya kurithishana ......
Amshauri tu kuacha na kama hataki amtizame tu atajijua na majanga yake..
Namwacha aende salama kwa kweli hata Mungu ataelewa
 
Tusubiri majanga tu dunia inavyoenda hivi sasa.

Sodoma inatungoja tena inafanana kweli na Dodoma na huko ndio makao makuu yetu.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Sodoma na gomora ktk quran imeelezwaje tafadhali nipe Daawa
 
Tusubiri majanga tu dunia inavyoenda hivi sasa.

Sodoma inatungoja tena inafanana kweli na Dodoma na huko ndio makao makuu yetu.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
usiseme hivyo tafadhali unaitamkia mabaya nchi yetu hasa makao makuu, bado tuna nafasi ya kurekebisha tulipo kosea, uzuri ni kwamba nchi haijaruhusu hii laana!
 
Hayo ndio majaribu tafta tu namna bora ya kushinda majaribu ili ndoa yako ikae sawa
 
Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon AmerisourceBergen kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja mbele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.

Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.

Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile

Ungempa ushauri gani?
Huyo shost wko lazma akili zake kma lemutuz kulelewa,hakuna namna umuache jamaa aendelee kushikishwa ukuta 2 nae kma vipi amsaidie mumewe kushka ukuta....kweli ukistajabu ya musa utaona ya .....lusinde
 
Tunaiga mno wazungu sasa, bila kificho, (usishangae kina Ronaldo nao wakasema wako hivyo) kweli haya mambo yalikuwepo, ila kwa kificho mno, siku hizi wazi wazi! Hapo hakuna ndoa sana sana watapeana magonjwa au mmoja kummaliza mwenzake siri isitoke, aachane na jamaa mara moja, leo leo! Mwanaume mpuuzi kabisa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom