Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Aangalie ustaarabu mwengine tu hamna namna au nyie wanawake mnawapenda waume wa hivyo?Halafu![]()
Aangalie ustaarabu mwengine tu hamna namna au nyie wanawake mnawapenda waume wa hivyo?Halafu![]()
Mwambie kwakuwa kutunza siri ashashindwa basi achague kati ya talaka au aendelee na ndoa yake.Mkuu sikuhizi inabidi story ninyapie nyapie hawafunguki kama siku zile na mimi nilivyo loyal kwenu ninazileta kama zilivyo
Hahaha wengine sisi ni kwa wanawake tu...hao wanaume wengine wanaopenda makinikia wamelaaniwaWanaume wanaopata mgao wa makinikia wa nini mkuu?
Sky Eclat kwamara nyingne na visa vya mitaanShosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon AmerisourceBergen kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja mbele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.
Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.
Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile
Ungempa ushauri gani?
Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon AmerisourceBergen kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja mbele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.
Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.
Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile
Ungempa ushauri gani?
Anasema nakutogagwa kwa kisukumaneno la kizungu hilo sijakuelewa hapo!
mh!Anasema nakutogagwa kwa kisukuma
Uligwa mayo!
Hapana Sina ninayemfahamu ila naamini kuna yule unayemwamini utamwambia au umemwambia anaye anaye hivyo hivyo ndivyo habari inavyosambaa mpaka mwisho unakuta habari iko uchiKwani unawafahamu mkuu?