Dunia hii

Dunia hii

Nachukua mtaji. Nakaa nae. Kisha natafuta wa kunitoa hamu zangu njee. Yeye aendelee kushikishwa ukuta tuh
 
Inachoma km pasi omba yasikukute, kila ukifumba macho Picha ya kwanza utaona watu wameshika ukuta. Pole yake ila Hawa wanaume smart kupitiliza wanashida sana.
Achukue mpunga alafu atafute mume mwingine hakuna ndoa hapo.
 
Inachefua pia ukifikiria wote mnapata makinikia
 
ukimwangalia akitembea utaona km anakatikia dushelele. Kila akikwambia kitu utarefer ulichokiona.
Alafu yule mume wa mumeo atajua umeshajua wanaweza kupiga simu usiku yaaalaah nafaaa.
Sijui wewe unayekazania kuishi nae ukiona simu ya yule mpenzi wa mumeo utajisikiaje?
Mateso bla chuki, usione wenye pesa wamekonda wanayo mengi kwenye miiyo yao.
 
Hivi unamtengea chakula kabisa shoga?
 
Sana mkuu na yanashangaza sana. Mfano kuna punga moja lina kazi nzuri na elimu nzuri, sa mwezi ulioisha wazazi wake ndo wamejua tabia zake. Mama ake mbona alizirai kwa mshtuko
Mkuu watoto wa kiume wa magetini sikuhizi wanaharibiwa shule ni hasa boarding schools. Fikiria unalipa ada millions 20 kwa mwaka upate punga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom