jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,962
- 10,610
Wanaoshangaa haya naona hawajayaona, hasa Dar, wako wengi tu, kuanzia matapeli walio hai, walioga dunia, watoto wa machifu wa kichaga wamo, wakuu wa Idara serikalini walikuwepo na wamo, na wengine wengi tu wenye familia zenye uwezo mkubwa tu!
Kila nikiwatazama watoto wangu natetemeka kwa woga, maana wanafikiri na wanajiona wanaijuwa Dunia, Dunia ina mambo..
The Mighty Cavaliers - Dunia Ina Mambo [ 1976 ] via YouTube
Kila nikiwatazama watoto wangu natetemeka kwa woga, maana wanafikiri na wanajiona wanaijuwa Dunia, Dunia ina mambo..
The Mighty Cavaliers - Dunia Ina Mambo [ 1976 ] via YouTube