Duka ambalo 100% wateja ni wanawake

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata majibu
jamvi daima halikosi makliaji
 
Hiyo nayo ni siasa? Na jambo hilo wewe linakusumbua nini? uchunguzi wako wa tangu 2009 haujakupa majibu? au unasubiri mwanaJF mwingine akafanye uchunguzi na kukuletea majibu?
 
litakuwa nilile duka la kuuza chupii za kike sasa wewe mwanaume waenda humo kutafutanini...
 
Sasa kama linauza nguo za kike mwanaume aende huko dukani kufanyaje?!
POPOOOOO!
 
Mi bwana siamini m2 mzima mwenye akili yake atajikuta 2 ameweka thread hapa kwa swali kama hili na tena apotezee muda kufanya uchunguzi toka 2009 embu aje bwana ku2jibu,
 
Hiyo nayo ni siasa? Na jambo hilo wewe linakusumbua nini? uchunguzi wako wa tangu 2009 haujakupa majibu? au unasubiri mwanaJF mwingine akafanye uchunguzi na kukuletea majibu?

Kwanza unajua maana ya duka? Isije ikawa unagonganisha vichwa vya watu bure wakati hata maana yenyewe ya duka huijui!!
Au umeona saluni?nadhani umeona saluni ya kike wewe... Hujaona chanuo,nyinginyingi na vichupa vingi vya saizi tofautitofauti? Hiyo inaitwa saluni.. Sawa? Hujaona na mataulo madogomadogo? Enhee... Inaitwa saluni.. Nafikiri jibu la uzi wako limepatikana.. Hutasumbua watu tena..
 
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata majibu
jamvi daima halikosi makliaji

face book wanakutafuta sana kumbe umekuja huku?
Ebu rudi huko hapa sio pa mambo haya. Unaruhusiwa kujitetea.
 
wanauza Always, chupi za kike,cream, sidiria, kukuza matiti na makalio, je ww unataka hapo huduma!.
 
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata majibu
jamvi daima halikosi makliaji

Unauhakika si Livingston na Kariakoo? kiduka cha usiku? kina dirisha moja tu la kuhudumia?
 
Nadhani ni duka ambalo unaongelea liko lipo kama halipo, ila wateja wengi ni wanawake hasa nyakati za jioni, na muuzaji mara nyingi ni mwanaume kama wa kipemba, mara chache mwanamke, ni duka ambalo linauza vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), ila vipodozi hivyo bado vinapendwa sana na wanawake wengi, vipodozi kama caro light, na vinginevyo vyenye hydroquinone na chemicals zingine zilizopigwa marufuku, zipo pale
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata majibu
jamvi daima halikosi makliaji
 
Back
Top Bottom