Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Naam! Uchunguzi zaidi umeonyesha kuwa Brazil wamekomba $11.2 million kwa ajili ya mechi mbili za TZ na Zim so inaelekea tumelipa around $6 mil kweli! TUMELIWA!!

Source:Brasil confirma amistosos, e jornal franc

Ndiyo maana nikasema hata WaBrazil wenyewe wanatushangaa.

Umenotice kwamba hiyo figure (R$ 11 btw) haiko katika details, buried within the article, bali ipo katika headline?

Inaonekana hata kwao ni scoop.
 
kuna msemo kuwa "ukimchunguza sana bata humli".. well nyinyi kwa wakati huu furahieni kuiona Brazil tu.. msianze kuuliza gharama yake maana mtakuwa uwanjani mnashangilia huku mnalia! shauri yenu!
 
Ndiyo maana nikasema hata WaBrazil wenyewe wanatushangaa.

Umenotice kwamba hiyo figure (R$ 11 btw) haiko katika details, buried within the article, bali ipo katika headline?

Inaonekana hata kwao ni scoop.

Wakuu haya malipo kwa Brazil mbona yanaonekana yana utata? Kwa nini hayasemwwi ni how much?? Au ndiyo kama kawaida ya nchi za kiafrika, Matumizi ya Tax payers moneys ni siri ya serikali. Just see below as for Zim, but it appears wao watailipa far less than what is being rumored around for TZ. Na hili suala la govt kuwa happy as quoted in the article below, hata ss govt yetu ilikuwa happy kulipia $1mn kwa ajili ya nyumba ya gavana.



Brazil To Face Zimbabwe On Wednesday - Report

Coach Dunga and his World Cup squad flew into South Africa yesterday morning ahead of the tournament next month.

By M. J. Somoni

Zimbabwe's Warriors will face world football heavyweights Brazil at the National Sports Stadium next Wednesday.
In a report posted by the Herald, the Zimbabwe Football Association chief executive Henrietta Rushwaya and Paul Leisegans, a representative of Kentaro, Brazil's sports agent, officially signed the contract that will take the Samba Boys to Harare for Wednesday's clash.
Zimbabwe minister for tourism and hospitality, Walter Mzembi, said Brazil's visit was a fulfillment of the objectives and tasks that cabinet had given his ministry, which included bringing at least one of the 32 World Cup teams to the country.

"It's now confirmed that Brazil will play Zimbabwe on June 2 in Harare.
"It's the fulfillment of objective number one, which was the luring of teams to come and play in Zimbabwe. The other objective was to increase the number of tourist arrivals in the country before and after the World Cup.

"Through our partnership with NetOne [mobile phone operator], we will also have fan parks with NetOne funding 16 public viewing points - eight each in rural and urban areas - but the aim is to have the fan park project spread to all the 73 districts.

"Luring teams has been a tall order from the time we travelled to Brazil, but as I have said before, if you lure Brazil you have lured the rest of the world.

The minister and Mr Leisegans insisted the costs of bringing the Samba Boys were not as high as the figures of between US$1.5 and US$1.8 million that had been thrown around.

"The deal is signed and we are all happy about it. We have come to a price that I know and I am certain that we are all happy about. The Government of Zimbabwe is happy and we are happy. The deal is 100 per cent confirmed.

"But it is far lower than the figures that have been reported," Leisegans said.
Dunga and his World Cup squad flew into South Africa yesterday morning with the Samba Boys immediately heading to their base within Randpark Golf Club in Johannesburg.

Source: www.goal.com or The Zimbabwe Situation
 
Kawaida masikini hulipa maradufu ya bei ya kawaida.

Wazimbabwe wanasema watacheza na Brazil kwa significantly less than US $ 1.5 mill.

Sisi, kuna figures zina float around kuanzia US $ 3-6 Million, hata ukiamua kuchukua lower end bado tutakuwa tunalipa zaidi ya mara mbili ya Wazimbabwe.

Hata ungesema this was absolutely necessary, inaonekana hatuna negotiation skills, hatujui the going rate, tunataka kutumia pesa kama fimbo wakati hata hatuna hizo pesa kihivyo.

Kwa mbali nasikia wimbo.

"Usitumieee pesaaaaa, kama fimboooo bababa

Mambo ya pesa hutaka makubaliano, hapo ndipo pesa huwa na thamani eee"


Nchi masikini, madeni kibao, matatizo kibao, na bado tunataka extravagances tu.

Yaani hata WaZimbabwe na matatizo yao yote, na Mugabe wao, wanatushinda!
 
kuna msemo kuwa "ukimchunguza sana bata humli".. well nyinyi kwa wakati huu furahieni kuiona Brazil tu.. msianze kuuliza gharama yake maana mtakuwa uwanjani mnashangilia huku mnalia! shauri yenu!

This is what I call that "Ostrich with head buried in the sand" mentality.

Yaani tu ignore facts zote kwa matumaini gani? A pie in the sky?
 
Hawa ni mfano wa baadhi ya wachezaji ambao Tanzania imejitolea kutupia visenti vyake kuonyesha na yenyewe inaweza, badala ya kununua dawa ya malaria unampa mtu anayelipwa £1mil/mwezi karibu Tsh. bil.2 kwa mwezi kama si ujuha ni nini, nafikiri hata wachezaji wenyewe wanatucheka moyoni mwao.

Futebol Finance's 50 highest paid players in world football
1 Cristiano Ronaldo (Real Madrid, £11.3million)
2 Zlatan Ibrahimovic (Barcelona, £10.4million)
3 Lionel Messi (Barcelona, £9.1million)
4 Samuel Eto'o (Internazionale, £9.1million)
5 Kaka (Real Madrid, £8.7million)
6 Emmanuel Adebayor (Manchester City, £7.4million)
7 Karim Benzema (Real Madrid, £7.4million)
8 Carlos Tevez (Manchester City, £7million)
9 John Terry (Chelsea, £6.5million)
10 Frank Lampard (Chelsea, £6.5million)
 
Kuna jamaa humu ndani alikumbushia..."Acha wale wala wali wale wali wao"
 
Mhh ila nasikia mara nyingi hizi ni black money je ni kweli???
 
Mkuu Moderator samahani kwa kukuingilia Kazi yako ningekuomba uitowe hii Topic sipo pahala hapa pake hii Topic mahala pake ni hapa
forum_new-48.png
Sports & Entertainment Forum hapa ni Mahali pa Jukwaa la Siasa sio mambo ya michezo Mkuu MOD ondosha watu wengine kwa kuanzisha Topic hawajuwi hata waweke mahali gani asante sana Mkuu MOD kazi njema nakutakia.
 
Mkuu Moderator samahani kwa kukuingilia Kazi yako ningekuomba uitowe hii Topic sipo pahala hapa pake hii Topic mahala pake ni hapa
forum_new-48.png
Sports & Entertainment Forum hapa ni Mahali pa Jukwaa la Siasa sio mambo ya michezo Mkuu MOD ondosha watu wengine kwa kuanzisha Topic hawajuwi hata waweke mahali gani asante sana Mkuu MOD kazi njema nakutakia.
Wewe bwana endelea na post zako za copy/paste, Kuchambua mambo tuachie sisi!
Hili sio swala la michezo, ni swala la siasa na nimeiweke post humu makusudi! MSIHAMISHE KITU!
 
Namshukuru JK. Baada ya Brazil kulipwa mahela yote na mimi kupata/kutopata nafasi nafasi ya kuona, atakuwa ametimiza ahadi yake ya "Maisha Bora" kwangu mimi na kila Mtanzania.

Hawa watu akili zao (kama wanazo) zinatokea wapi? Kwa nini wasichapwe viboko mbele ya Watanzania wote?

Inasikitisha. Inauma sana.
 
ujio wao utaigharimu serikali USD 3.8 na nasikia viingilio ni kuanzia 70,000/=. hapa ndio natatizwa na CCM,what are our priorities? hadi uchaguzi uishe natarajia USD 1=more than 1800TShs. nilikuwa na hamu sana na brazil waje bongo ila kama wanatukamua hizi #%$%%&&&^** ... zao wasije!!!
 
ndio mambo ya mkwere, watoto watakufa njaa lakini sherehe za jando atakopa ata benki. Haya ni mambo ya kifahari, hatuna maji safi, hospitali huduma mbovu, elimu ndio usiseme, uchumi uko hoi, lakini kwa mambo ya anasa tuko juu
 
Several million dollars! Wamezitoa wapi?

Mheshimiwa pmwasyoke nani alikwambia nchi hii haina pesa? Tatizo letu siyo uwepo bali ni kukosa vipaumbele. Haya mambo ya kipuuzi huwa hayakosi fungu.
 
Hii hela yote imetoka wapi? Mbona kuna budget cuts zinaendelea na hii hela ni nyingi sana jamani? Hivi tunaitaka timu ya Brazil itusaidie nini? Ni luxury ya dakika 90 halafu tunaendelea na umasikini wetu na ni sawa na starehe ya saa moja na mwanamke kisha anakuacha na mamatizo yako kama kawa na probably HIV!! hapa tuna question maamuzi ya walioamua hivi kwa maana ya priorities, au labda watuambie cocacola na breweries wanalipa
Kuna vitu hata ukimuambia mtoto mdogo haelewi
 
TFF luwalipa Brazil ni kitu si cha kukwepa ukitaka Timu yeyote kubwa kuja kwako kucheza (MUALIKO) lazima ulipe tene kuna terms zingine haziko kwenye monetary terms kama kuwapeleka Serengeti, zanzibar, Seleous game reserve n.k.
Cha muhimi hapa cha kujadili ni kwamba je katika wakati huu tuliokuwa nao ni busara kupoteza pesa za kigeni kwenda nje kwa ajili ya Mcvhezo huu wa kirafiki ambao sidhani kama utaongezea kiwango chochote timu yetu ya Taifa.
hapa pia msisahau kuna masilahi ya watu tena wengi tu. TAKUKURU mna kazi kubwa kuliko mnavyofikiria sasa hivi kwenye Michezo ndiyo kwenye Rushwa kubwa iliyojificha ambayo ina muenekano wa kutokumuathiri Mwananchi wa kawaida labda awe mpenda Footbal saana.
 
Mawazo ya Zitto kuhusiana na issue hii:

Zitto Kabwe
Guys, how much does it cost to put a 30 seconds advert on CNN? Brazil - Stars match will be watched in 160 countries for 90 minutes. It is worth it. Sasa jamani sisi miaka 4 tunapiga kelele ufisadi ufisadi, maalbino, indecisiveness, power blackouts etc..... tuache Watanzania wafurahi japo kidogo na wao. waende Taifa kuwaona Brazil nk. Relax guys relax

Zitto Kabwe Private sector in Tanzania? What is the private sector in Tanzania? These companies lining up at our treasury asking for tax exepmtions? State has a role to make its people HAPPY. Let Tanzanians lough and loosen up a bit. You it is only football which unites us as people? It is only football that raise our patriotism (really?). Only football and it seems watawala wanajua hili.....


Kama kweli Zitto kasema haya basi anazidi kufulia....poor guy
 
Poor Tanzania, waliopanga walifikiri kuileta Brazil kutawaongezea ujiko sasa wasubiri baada ya mechi watuambie tumepata nini.
 
Back
Top Bottom