Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Tatizo la nchi yetu ndo hili, there is no way you can justify anything. No priorities, no planning what do you expect. ni kukurupuka tu kwa kwenda mbele, hawakufanya study yoyote kama safari hiyo ni viable, mara viingilio vimepangwa leo na leo unaambiwa tiketi zote zimekwisha. TFF Totally False and Faulty

Mazee viingilio vimepangwa leo na tiketi zimeisha ishaje hapo?
 
Mazee viingilio vimepangwa leo na tiketi zimeisha ishaje hapo?

Leo wametangaza, kupanga sijui walipanga lini, samahani kwa hilo. Msemaji wa TFF nilimsikia akitangaza kwenye kipindi cha spoti leo kuwa mtu mmoja jina hakumtaja kachukua tiketi nyingi, whatever it meant
 
Inaelekea purchasing power yetu si haba 🙂

wacha mchezo bwana, hii tanzania haieleweki kabisa. soma hii toka Tanzania Daima:

na Dina Ismail

amka2.gif
MFADHILI wa klabu ya Yanga, Yussuf Manji, ameamua kuchangia mapato ya mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Taifa Stars na Brazil itakayochezwa Juni 7 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kwa kuwalipia wanachama wote wa klabu hiyo. Kupitia barua namba YANGA/TR/ 038.010 ya Mei 28 kwenda kwa Katibu Mkuu wa Yanga, Manji atafanya hivyo kwa watakaoshiriki mkutano wa marekebisho ya katiba wa Juni 6.
Mkutano huo uliopangwa kufanyika siku hiyo kwenye Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay, unaweza kupanga tarehe ya Uchaguzi Mkuu.
Manji amesema amefanya hivyo kuongeza idadi ya watu katika mechi hiyo kwa lengo la kuongeza mapato ya mechi hiyo kwani gharama za kuwaleta mabingwa hao mara tano wa dunia ni kubwa.
Atakachofanya ni kumkatia tiketi ya sh 30,000 kila mwanachama atakayefika ukumbini siku hiyo kwa ajili ya kushuhudia mechi itakayochezwa siku inayofuata.
 
Hizo picha zinatisha
Kuona jinsi wakina mama wanavyo pata shida kwenye wodi zetu kwa kweli inasikitisha. Nimeangilia mara mbili mbili nimesikia uchungu sana. Imagine wake,mama na dada zetu wanavyopata shida kwenye hizi wodi, na hapo hapo unasikia mheshimiwa anataraji kutumia bilioni 50 kwenye kampeni, hivi hii ni akili au matope? Na kama kweli awa TFF wametoa bilioni 3 kucheza na brazil nafikiri tuna watu ambao akili zao hazipo hapa duniani siwezi ata kufikiri sehemu ya kuwaweka, manake ata nikisema wawe vyura they don't deserve it! Ili skendo litaturudia inawezekana tunashangalia sasa hivi kuona tumewaleta Brazil lakini for sure hatutakwepa matumizi mabaya ya feza hizi.
 
Kwani Yanga ina wanachama wangapi? Asije kutoa ahadi halafu watu laki mbili wakatokea hapo Police Officers Mess.
 
Hizo picha zinatisha
Kuona jinsi wakina mama wanavyo pata shida kwenye wodi zetu kwa kweli inasikitisha. Nimeangilia mara mbili mbili nimesikia uchungu sana. Imagine wake,mama na dada zetu wanavyopata shida kwenye hizi wodi, na hapo hapo unasikia mheshimiwa anataraji kutumia bilioni 50 kwenye kampeni, hivi hii ni akili au matope? Na kama kweli awa TFF wametoa bilioni 3 kucheza na brazil nafikiri tuna watu ambao akili zao hazipo hapa duniani siwezi ata kufikiri sehemu ya kuwaweka, manake ata nikisema wawe vyura they don't deserve it! Ili skendo litaturudia inawezekana tunashangalia sasa hivi kuona tumewaleta Brazil lakini for sure hatutakwepa matumizi mabaya ya feza hizi.

Mbona watu wanasema shilingi bilioni tatu wakati figures nyingine zina quote $ 6 million which should be closer to shilingi bilioni 9 ?

Halafu Tenga alivyoulizwa mmetumia kiasi gani anajibu bila kuwa wazi "it will be worth every penny of it", anaepuka kujibu swali, kwa nini?

Au ndiyo mambo ya cha juu tayari?
 
......priorities.

Priorities mazee.

Hapa mtu angeweka chart ya "Unaweza kutumiaje dola milioni sita za Kimarekani" tungelia.

Kuanzia madawati ya shule, kama unakwenda kwa estimate za dawati la uhakika la shilingi 100, 000 na exchange rate ya dola moja kwa shilingi 1500 for simplicity's sake. Dola milioni sita ni shilingi bilioni tisa, katika shilingi bilioni tisa unapata madawati tisini elfu.

Madawati tisini elfu tungekuwa tumebadili kabisa picha za wanafunzi wanaokaa chini nchi nzima.Sijui hata kama mahitajin yetu yanafikia hapo.

Hii inamaanisha hizi habari za kusema kwamba hatuna pesa, nchi masikini ni uongo.Kama nchi inaweza kutumia $ 6 m kuleta timu ya Brazil, then suala si umasikini, suala ni priorities kama anavyosema mazee mbebabox hapo juu.

Hapo sijaenda kwenye tiba na huduma nyingine za jamii. Watu wenye UKIMWI wanachukua zaidi ya nusu ya vitanda vilivyopo mahospitalini Tanzania. Kama unatumia figures hizo hizo za madawati kwa vitanda vya hospitali Tanzania ingeweza kuongeza vitanda 90,000 vya hospitali kwa pesa hizi. Tungeweza kumaliza tatizo la vitanda hospitalini, au hata kama tusingemaliza tatizo hili, tungelipunguza vizuri sana.

Tuna magonjwa, tuna UKIMWI (imebidi niuweke tofauti na magonjwa mengine kutokana na ulivyo tishio) tuna ujinga (Tanzania inarudi nyuma katika kufuta ujinga) kuna umasikini.

Kuna kuwapatia watu maji, kuna kuwapatia watu umeme, kuna kuwapatia watu pembejeo, kuna kuwapatia watu ajira viwandani, kuna elimu, kuna miundombinu, kuna lishe kuna maswala lukuki.

Less than 29% of the rural Tanzanian population has access to clean water. And these are Ministry of Water figures so you know to take them with a pinch of salt, the real figure is probably less than half of that.

Sisi tunaenda kulewa mvinyo wa mamilionea!

Leo hii tunashabikia kutumia hela zote hizi kwa siku moja tu. Hivi watu wanatumia akili hapa?

Yaani tunafanya mambo utadhani hatuna external debt ya about $ 6 billion ?

Priorities.
 
Hizo picha zinatisha
Kuona jinsi wakina mama wanavyo pata shida kwenye wodi zetu kwa kweli inasikitisha. Nimeangilia mara mbili mbili nimesikia uchungu sana. Imagine wake,mama na dada zetu wanavyopata shida kwenye hizi wodi, na hapo hapo unasikia mheshimiwa anataraji kutumia bilioni 50 kwenye kampeni, hivi hii ni akili au matope? Na kama kweli awa TFF wametoa bilioni 3 kucheza na brazil nafikiri tuna watu ambao akili zao hazipo hapa duniani siwezi ata kufikiri sehemu ya kuwaweka, manake ata nikisema wawe vyura they don't deserve it! Ili skendo litaturudia inawezekana tunashangalia sasa hivi kuona tumewaleta Brazil lakini for sure hatutakwepa matumizi mabaya ya feza hizi.

jamani,kwanini wamama wanalala kitanda kimoja wamama wajawazito wawili? naomba kuuliza ivi ni kwnainiiiiiiiiiiii? jamani jamaniii, hivi selikali yetu kweli ina huruma yoyote na wananchi wake...yaani nimewaonea huruma kama vile ni mke wangu...THE DAY IS COMING when i will make a change to the mothers of tz, that day is very near, kuna siku mtakuja kujua mpeni sifa Yesu alikuwa nani pale nitakapofanya kitu..... hakika nitafanya kitu tu hata kama selikali haina business nao. Mungu awasaidie kwakweli.
 
Priorities mazee.

Hapa mtu angeweka chart ya "Unaweza kutumiaje dola milioni sita za Kimarekani" tungelia.

Kuanzia madawati ya shule, kama unakwenda kwa estimate za dawati la uhakika la shilingi 100, 000 na exchange rate ya dola moja kwa shilingi 1500 for simplicity's sake. Dola milioni sita ni shilingi bilioni tisa, katika shilingi bilioni tisa unapata madawati tisini elfu.

Madawati tisini elfu tungekuwa tumebadili kabisa picha za wanafunzi wanaokaa chini nchi nzima.Sijui hata kama mahitajin yetu yanafikia hapo.

Hii inamaanisha hizi habari za kusema kwamba hatuna pesa, nchi masikini ni uongo.Kama nchi inaweza kutumia $ 6 m kuleta timu ya Brazil, then suala si umasikini, suala ni priorities kama anavyosema mazee mbebabox hapo juu.

Hapo sijaenda kwenye tiba na huduma nyingine za jamii. Kama unatumia figures hizo hizo za madawati kwa vitanda vya hospitali Tanzania ingeweza kuongeza vitanda 90,000 vya hospitali kwa pesa hizi. Tungeweza kumaliza tatizo la vitanda hospitalini, au hata kama tusingemaliza tatizo hili, tungelipunguza vizuri sana.

Leo hii tunashabikia kutumia hela zote hizi kwa siku moja tu. Hivi watu wanatumia akili hapa?

Priorities.

And u dont have to be rocket scientist to know those things u mentioned above.It explains what kind of leaders we have.
 
Mawazo ya Zitto kuhusiana na issue hii:

Zitto Kabwe
Guys, how much does it cost to put a 30 seconds advert on CNN? Brazil - Stars match will be watched in 160 countries for 90 minutes. It is worth it. Sasa jamani sisi miaka 4 tunapiga kelele ufisadi ufisadi, maalbino, indecisiveness, power blackouts etc..... tuache Watanzania wafurahi japo kidogo na wao. waende Taifa kuwaona Brazil nk. Relax guys relax

Zitto Kabwe Private sector in Tanzania? What is the private sector in Tanzania? These companies lining up at our treasury asking for tax exepmtions? State has a role to make its people HAPPY. Let Tanzanians lough and loosen up a bit. You it is only football which unites us as people? It is only football that raise our patriotism (really?). Only football and it seems watawala wanajua hili.....
Msimuwekee Zitto maneno mdomoni acha aseme mwenyewe.
 
Hapo tungeongeza ngapi kujenga chuo kikuu kingine

Mazee hapo kama unaongelea vyuo vikuu vya kujibana bana kama vile vya kujibana vya India, unaongelea kujenga vyuo vikuu kadhaa, si kuongezea ili kujenga chuo kikuu.
 
Naona hii biashara ni sawa na kashifa ya kuuziwa Rada ya bil.40 na nchi tajiri kama uingereza kwa nchi masikini kama yetu, ni mwendelezo wa ujuha ule ule kujifanya ni matajiri kumbe hohe hahe, ndiyo tunahitaji kucheza na mastar lakini tuangalie pia uwezo wetu, nchi masikini kutumia $6mil. kwa mechi moja kuwalipa mastar wanaolipwa $250,000 kwa wiki mimi naona ni kashifa nyingine kama ile ya rada.
 
Back
Top Bottom