Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

bahati yao (serikali ya JK) kuna uwanja wa kisasa ambao utasaidia kuraise amount of that money...

hivi anayependaa michezo bila miundo mbinu kama viwanja, mpango imara wa kuendelezaa michezo nk na ambaye aliweka miundombinu (ujenzi wa kiwanja cha kisasa barani afrika) tofauti yao ni nn!!!

3bn jamani kwa Tanzania ni hela ambayoo natumai tatizoo la maji dar lingepunguaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Thubutu!

Kwani wao hawali.. kama ni 3bn zimetumika basi ujue mapato hayatazidi 1.bn ukiweka na gharama zingine ziara ya Brazil italighalimu taifa si chini ya 2bn.... I can bet for my head for a big loss!
 
Mimi nilishaangaa kusikia tiketi zote za watakaokaa jukwaa la VIP A (747) zimeuzwa. Kila kimoja ni Tshs. 200,000/=. Wamenunua akina nani!? Magogoni!?
 
Tanzania ni nchi ya ajabu. Pamoja na hayo yote , kuna watu watapewa complimentary tickets. TFF should tell us how many complimentary tickets zitatolewa in both numbers and monetary . Full breakdown of expenses and income ya huu ujio.
Je pakiwa na shortfall (hasara) nani atawajibika?
 
Sijaona faida ya kuwaleta hawa jamaa kwa gharama kubwa namna hii, wangekuwa wanakuja kutembelea mbuga zetu tungefaidika na hela za kigeni, wabrazil si watalii kama walivyo wazungu toka europe, hizi ndio zile sifa za kjinga jinga ambazo hazina faida kwa nchi.Nauliza mbona che mkapa hakuwaleta hao jamaa hapo kabla au hawakuwepo au ni hiki kiwanja 1 ndicho kinatutia kiburi na je? mkapa asingejenga tungewaleta? NIMECHOKA JAMANI NA JINCHI HILI, WAIIIII
 
na kitu ambacho wengi humu wana-overlook ni kuwa hio $6mil(whatever exact amount is) its just APPEARANCE FEE.sasa kuna gharama nyingine kama hotel(*5 or>),usafiri,security etc sasa hio $6mil. ongeza nyingine ya gharama nilizooredhesha na nyinginezo............
 
2500a2s.jpg



"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars"

Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi!

Credit: Metro Sport - UK

It is very very sad kusikia hio, mwanzo sikuamini mpaka nilivojaribu kusikiliza RFA huku kwetu, arnd 3 billion ndio gharama za kuwaleta hao majamaa' najiuliza hivi kuna faida gani tutakazopata kwa brazili kuja hapa kucheza na sisi.

Si bora hizo hela zingetumika kununulia dawa na vitanda kwenye mahospitali, tena inauma pali tuonapa mama zetu na madada zetu wakiwa katika wodi zao wamelala chini na kukanyagana hovyo.

Tungekuwa makini tukaweka strike ya NO for brazil to play in Tanzania.
 
Jamani, mimi sioni faida yoyote kwa timu ya brazil kuja tanzania na kucheza na sisi, kwani sioni faida yoyote ya soka hapa bongo kwa uchumi wetu. nimeambiwa kuwa ujio huu utagharimu karibia bilioni kadhaa za kuwalipa hao matajiri wa soka from our money, ambayo rais wetu alisema hana za kutulipa sisi walalahoi. jamini mi nafikiri tanzania is the most stupid country i ever known in the world.
 
Binafsi roho imeniuma sana kusoma hii kitu, hawa jamaa ni masuperstar hadi uwalete kwa malipo na wakiri kuwa wanalipwa ni hela nyingi tunazungumzia wakati tuna wazazi wanalala nje kusubiri kuzalishwa. Haki ya mungu for the first na kiri i have lost total confidence na Kikwete.

Tafadhalini wana CCM kikwete mtoeni jamani.

Mkuu,

Cha kufanya hapa ni waweke wazi costs zote za hiyo mechi.Some of these decisions zingewekwa kwenye mitandao au magazeti - ziwe kama forums/polls ili waangalie kama wananchi ambao "ndio wenye nchi" kama wana-support au vipi.Mambo yote haya yanaletwa na viongozi kutokuwa wazi kwa kila jambo!Everything should be done ki-uwazi!Inasikitisha wakati wa kampeni za uchaguzi utasikia kuwa moja ya mafinikio ya serikali hii ya awamu ya nne ni kuendesha mambo kiuwazi - what a nonsense!!Na Wadanganyika watashangilia kwa nguvu zote na kuwapa ulaji tena.Mimi napenda mpira wa miguu sana tu!I would as well like to watch Brazil play there lakini ningekuwa na a different approach ya kuwapata.Try all means ikiwa ni pamoja na kuongea na Rais wa nchi yao as I believe ni supporter wa maendeleo ya nchi masikini.We could have cater for them wakiwa hapa nchini na siyo kuwalipa kama mishahara.

Ninavyoamini nchi kubwa hizi zenye kujiweza kiuchumi ni rahisi kuomba mechi kama hizi na siyo kutanguliza pesa mbele.Inanifanya niamini kuwa inawezekana kuwa Brazil hata hawajadai pesa ila jamaa kwa kuona sehemu ya kutokea ndio wameamua kusema kuwa pesa such and such zimelipwa Brazil Football Federation. It is cheaper kuwalipia first class tickets na malazi kwenye top hotels zetu na bado tukapata faida nyingi tu.Kweli tumeshindwa negotiations kuwaleta hawa jamaa kwa kuwashawishi wafanye hii safari kama njia ya kupitia kwenda SA.Tuwapeleke mbugani after the match for a day then wapande pipa to SA?Kwa sababu ukiangalia kwa umakini zaidi utajua kuwa trip hii ya Brazil ni ya pesa zaidi na siyo kingine.Kwani SA sasa hivi ni winter season,Dar ni joto?Kweli hapo kuna preparation yeyote zaidi ya kuwafanya wachoke?Sidhani hata watachezesha wachezaji ma-star!!!

I fail to understand this whole thing!
 
Nashangaa wafadhili bado wanaichangia bajeti ya Tanzania na huku tuna mahela kibao ya kuchezea. Kwa nini wasijiondoe 100% ili akili zetu zianze kufanya kazi sawasawa??
 
Salaams from Kamau In Kenya
Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem to post my article in your beloved blog. I have been a follower, and a keen reader of this blog since the fierce debate related to the East African treaty. Ever since, I follow very closely debates and issues on this blog. After all, what affect Tanzanians, affect us Kenyans as well
After reading this piece, "Tanzania Pay Brazil Price" from BBC, I decided to write something for my neighbours Tanznaians. A countryin the bottom of the poorest in the world, I was shocked on the rationale and thinking of these people. How could Tanzania pay such a price for Brazil to come and play soccer in Tanzania, while women giving birth are dying in hospitals because they can't get medicine? They could have used the money to modernize their Airport to be the Best in East an Africa.
Allow me to criticize you, in East Africa, Tanzania is the poorest and the most backward in terms of development, but when you say that, Kenyans are seen as very arrogant. NO. This is the truth, and this is he criticism you should take positively. Rational people don't do things like these, if you cant pay teachers, or policemen a decent salary, the education can never improve neither can the country be safe.
Like I said in my previous comments which drew a lot of fire, I lived with Tanzanians in UK for 8 years, and my roommate whom I can call by the last name "Rutahibwa" was from TZ. He came on the background of education, but I tell you after six months, the man ditched school and joined the first life. He was always asleep during the day and party during the night. He never worked but did not take long either before he started driving Range-Rover and Ferrari. He talks too much and knew everything, and had so much money. I got nervous and moved out; months later he was arrested for drug dealing. Very many Tanzanians i knew in the UK never worked but lived posh lifestyles
I have called Julius Nyerere, your celebrated and controversial Dr. Shayo, and John Masaka not to be Tanzanians because of their thinking, I called them Tutsis, and Kenyans because they think like Kenyans, and will be glad to see them return to their ancestral land, which happened to be US Presidents birth place. This football saga, a poorest country in the world paying the richest team in the world millions of dollars is a form of insanity; Kenyans (TAX payers) could not accept anything like this. In Kenya we are ready to die for what we believe in, and that is why I described Tanzanians to be party animals and funniest creatures.
Mjomba Paulo Kamau
Nakuru Kenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom