Bure tu mkuuBure au utanitoza hela??
Serikali inahusika vipi hapo??? Demu mwenyewe ndo anataka kufumuliwa ndomana analalamika jamaa hamtafuti
Jamaa ndiyo katengeneza hayo mazingira na nia hiyo anayo...Serikali inahusika vipi hapo??? Demu mwenyewe ndo anataka kufumuliwa ndomana analalamika jamaa hamtafuti
Mafisi ni kawaida kutesttest sasa ke ukichukulia siriaz hata utani tu lazima uliweJamaa ndiyo katengeneza hayo mazingira na nia hiyo anayo...
Wewe ni mtu mwema Sana mkuu🤗🤗🤗🤗Bure tu mkuu
Lakini wana sema mwandiko mzuri sio lazima bhana, we jua kuandika mengine tuta ona.Unafanya masihara na Mkuu wa kitengo serikalini weye?
Dah haaminiMbona kama unaandika huku unatetemeka sana, umekula chakula?
Ila hz ministry watu wanateseka imagine unapigwa Kofi au kuambiwa hivyoEe mkuu ni yule pastor 😆
Mkuu gani wa idara hajielewi kiasi hiki😂😂😂eh na nyie ndo maboss aiseee naanza kuungamkono wanaojiajiri maana hao waliochini yako wana kazi kwa kweliWakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.
Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.
Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
😂😂😂😂😂Serikalini
Business kadi
Inasikitisha sanaMkuu gani wa idara hajielewi kiasi hiki😂😂😂eh na nyie ndo maboss aiseee naanza kuungamkono wanaojiajiri maana hao waliochini yako wana kazi kwa kweli
Hajielewi huyuInasikitisha sana
Wewe ni Malaya pro max. Unataka kutumia madaraka yako vibaya.Hii haitawaacha salama watoto wako wa kike.watalipa hii gharama.Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.
Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.
Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
Kupatwa kwa kitengoWakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.
Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.
Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
Kwamba wewe ni Mkuu wa Idara???Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.