Duh hii imekaaje

Duh hii imekaaje

Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.

Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.

Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.

Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.

Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
Utakoma. Mnawachokoza wanini
 
Kwanini watu wanashangaa wewe ni mkuu wa kitengo na hawajui kitengo gani? 🤣🤣 Watu wakisikia kitengo mawazo yanaenda wapi?
 
Bora ungeachia hiko kitengo, unaidhalilisha serikali

Anyway, umesema jana ulimpa namba, leo amekutafuta kwa mara ya kwanza na hivyo leo ukapata namba yake ila leo hii hii analalamika humtafuti?
 
😂😂😂
Nyie ndio mnaotumia vyeti vya watu maofisini kama kweli upo kitengo.
 
Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.

Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.

Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.

Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.

Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
No Reforms
No Election

Tuikomboe nchi kwanza, mbunye utaikuta tu. Atakusubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom