Namakofia yako ya takataka 😆😆Mkuu wa kitengo cha takataka.
Nawaza hv siku nikizeeeka ntakua naona wadada wazuri wenye nyash wananitania siwezi kupiga hatrick 😁qubabakeAaaaah wapi utakuwa kimoko chali tena cha kulazimisha!!!
Utakuwa Shox weweWakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.
Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.
Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
si unaona na kitengo kapewa.Tenaa usikutee anachukuaa mshahara nzito mkuu😄😄
kwa hio ww ni mkuu wa kitengo huko serikaliniWakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.
Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.
Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
Mbona kama unaandika huku unatetemeka sana, umekula chakula?
Ukitaka kuzaa uje nikuzalishe mkuuNgoja Nije nizae katoto kakike kaje ofisini kwako ukaombe mzigo nikukomeshe!!!
Wa 2000 huyo sidhani kama anamani hata kukiona, sikuhizi wameegemea kwenye AI hao.Kasome kitabu kinaitwa 'Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe'
Na wewe utaishia kuwatania🤓🤓🤓🤓Nawaza hv siku nikizeeeka ntakua naona wadada wazuri wenye nyash wananitania siwezi kupiga hatrick 😁qubabake
Bure au utanitoza hela??Ukitaka kuzaa uje nikuzalishe mkuu
Uzee uniepuke yaan nyama naiona hii hapa ila ndo siweziNa wewe utaishia kuwatania🤓🤓🤓🤓