Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Kama unachangia kwa muktadha wa mada hii basi naamini hukuelewa kabisa nilichoandika.... Hebu chukua muda wako tena usome kwa makini.... Kwa kutulia
Ikiwa wewe mwenyewe muanzisha mada hukielewi ulichokiandika unategemea nini?

Unamponda Konk master kwa kufuatilia mambo ya watu huku wewe pia unakifanya hicho hicho unachokiponda!! umeishiwa hoja na wana huna uwezo wa kujibu hoja,umebaki kujichekesha chekesha hovyo kama punguani.
 
Dudubaya anauhakika na hao watu ndio maana amesema kuwa kama watakutwa na MARINDA aende jela! Hivi kwanini watajwe wao? Sio Mara ya kwanza kusikia tetesi hizo Kwa watuhumiwa huenda Kuna ukweli ndani yake!
 
Ikiwa wewe mwenyewe muanzisha mada hukielewi ulichokiandika unategemea nini?

Unamponda Konk master kwa kufuatilia mambo ya watu huku wewe pia unakifanya hicho hicho unachokiponda!! umeishiwa hoja na wana huna uwezo wa kujibu hoja,umebaki kujichekesha chekesha hovyo kama punguani.
Mueleze ukweli au naye anasapoti ukakapoa? Dudubaya ni mzalendo wa kweli ameamua kuweka wazi ili kumuunga mkono mheshimiwa Paul
 
Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,

Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
Mbona sijaona mahali ametetea mashoga? Daah! hizi umezaliwa na ubongo wewe?
 
Simtetei mshana jr wala nani ila ninasema; Hizi taja taja zisizo na mpangilio ni uuaji tu. Nadhani mtakumbuka wale wa ngada jinsi ambavyo waliumizwa wengi. Kumbe ilikuwa ni mpango tu wa kuwatetemesha watu yajayo yapite bila kupingwa.
Watu wenye heshima zao wakavunjiwa heshima hadi leo hakuna hata kitoto kiliwekwa segerea. What a shit man. Ikaja ya madini, Mara paaaa tukaahidiwa mifedha kibao kwa fidia ile. Marapaa. Imezimika.
Leo Majina ya mashoga. Nadhani nimesikia hao mashoga wamesema, hawatikiswi kwani wao wapo tiyari kuwataja hao waume zao wanasiasa mmoja mmoja. Hili ndio limewaponya kwani Jumatatu imeshapita wala hakuna hata shoga mmoja tu aliyekamatwa ila hale kabinti walikokamaliza kwa kumuingizia marungu yale ya mgambo hadi mahakamani akashindwa kuketi.
Huu man ni uonevu tu. Wenyewe wanao wa finance hao mashoga na kuwafanya wakae hapa mjini. Hakuna hata mmoja ametikiswa. Nimeamini; Kulindana hakutaisha kamwe.
Nadhani kuna mme wa mtu aliibwa hapo hivyo wenye nguvu kidogo wakawakomesha wanyone kina Delicious. Nyie watangazaji, jiangalieni kwanza kabla hamja jitutumua
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo

Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.

Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.

Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.

Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.

Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!

Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.

Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa


cc: Mange Kimambi
 
Mleta mada ni mkurupukaji mzuri sana,kila jambo likiwa ni habari iliyo kwenye chat basi atakimbilia kulianzishia thd bila kulifanyia utafiti ili tu apate attention ya watu,hii sio mara yake ya kwanza kukurupuka,unatetea mashoga unataka tukueleweje?
Mzee msumari ulioukalia unakuumiza ebu inuka kunusuru hayo makalio...
 
Mzee msumari ulioukalia unakuumiza ebu inuka kunusuru hayo makalio...
Subiri mleta mada aje kukuchekea na kulike huu upuuzi wako,ni bora ungeficha ujinga wako kwa kukaa kimya kuliko kuharisha hapa vitu visivyoeleweka,kwa kawaida mtu alifanyalo hudhani kua na wengine hufanya kama afanyavyo yeye,kumbe kukalia misumari ndio kazi yako eeh!
 
Subiri mleta mada aje kukuchekea na kulike huu upuuzi wako,ni bora ungeficha ujinga wako kwa kukaa kimya kuliko kuharisha hapa vitu visivyoeleweka,kwa kawaida mtu alifanyalo hudhani kua na wengine hufanya kama afanyavyo yeye,kumbe kukalia misumari ndio kazi yako eeh!
Mambo vp mrembo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom