Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

KONKI IS GAY HIMSELF.

ILA NAMPONGEZA KWA DEFENSIVE MECHANISM ALIYOTUMIA KUJIKINGA.

KWA SASA NAAMINI HAKUNA ATAKAYEAMINI KUWA DUDU BAYA NI SHOGA.

HE IS BRAVE THOUGH. HONGERA KWAKE.

MMECHELEWA...UKWELI UNABAKI KWAMBA WALE WALIOTAJWA MBONA HAWAJITOKEZI KUBISHA ??? WEWE NI NANI UWATETEE MASHOGA?? NAWE NI SHOGA!!!MTYU KAMA HARRIS AU BEN UNAFIKIRI WANAWEZA KUBISHA HAPA?? NDIVYO WALIVYOZALIWA NA KUKUA ,SASA UNAWABISHIA HATA HAO??? HIYO STORI YA UGOMVI NA MR NICE ,TUULIZE SISI TUNAOJUA NDANI NJE..............KONKI KONKI KONKI MASTER MAMBA

T
 
Baada ya kukosa hoja umeamua kuja na na ki ID chako kingine!
Una comment mwenyewe kisha unaji like mwenyewe na kujichekea mwenyewe! hiyo sio solution,
Solution upunguze tu kukurupuka na kurukia kila jambo kulianzishia thd bila kufanya tafiti.
 
UPUUZI MTUPU.
 
Duh. KWAHIYO MIMI NDIO MSHANA JR?

Hahahahaa
 
MMECHELEWA...UKWELI UNABAKI KWAMBA WALE WALIOTAJWA MBONA HAWAJITOKEZI KUBISHA ??? WEWE NI NANI UWATETEE MASHOGA?? NAWE NI SHOGA!!!MTYU KAMA HARRIS AU BEN UNAFIKIRI WANAWEZA KUBISHA HAPA?? NDIVYO WALIVYOZALIWA NA KUKUA ,SASA UNAWABISHIA HATA HAO??? HIYO STORI YA UGOMVI NA MR NICE ,TUULIZE SISI TUNAOJUA NDANI NJE..............KONKI KONKI KONKI MASTER MAMBA

T
Ni kweli umechelewa,jamaa hajawatetea hao waliotajwa na dudubaya kweli wanaweza wakawa mashoga,ndio inawezekana!!..lakini pia watu wanazo taarifa za mtajaji kuwa naye ni shoga!tatizo liko wapi,mbona ishu simple tu!..kawataja wenzake lakini naye wametokea watu wamemtaja,na ushahidi umetolewa,Mimi hizi habari za ushoga wa dudubaya nimeanza kuzisikia kitambo kidogo,
Mkuu,ukiona mtu anakuletea taarifa mbaya kuhusu mtu mwingine,au anakuletea taarifa za watu wengine waliokuwa wanateta ubaya kukuhusu,hutakiwi kumuamini moja kwa moja huyo anayekuletea hizo taarifa,badala yake mchunguze kwa makini sana huyo anayekuletea taarifa,huenda akawa mbaya kwako kuliko hao aliowataja,hiyo ndo kanuni,hatuwatetei mashoga waliotajwa,ila tunashangazwa kwa nini awashutumu wenzake ilhali yeye ni shoga aliyekubuhu!

Dah R.I.P jamiiforums of great thinkers...!!
 
JF is never boring.... Badala ya KUJIBIWA hoja ni mwendelezo wa vijembe... Duu ndio jamii tuliyo nayo leo hii
JF ya leo sio ya jana. Ukileta mada humu unajikuta sio hoja inayojadiliwa bali kutokuelewa ndiko kunachukua nafasi. Hakika hii elimu ya vodafasta imetuharibia vijana wetu na ndio hawa tupo nao humu JF.
Dudu Baya ni ngangaripoa hilo halina ubishi. Na bahati yule dada wa majuu ameanza kutiririka.
 
Kwa maelezo ya post hii inatia mashaka mtoa post, nadhani umeguswa kwa njia moja au nyingine, sioni lolote baya alilofanya dudubaya, mhe mkuu wa mkoa yeye kahitaji majina, na wengi walimtumia majina kwa sms, dudubaya yeye katumia njia mbadala ya kufikisha majina kwa mhe mkuu wa mkoa. Pia unasema mwanaume anaye lalamika ana vinasaba vya ushoga, wewe hapo ulichokifanya ni nini? si umelalamika? Vinasaba havijamuacha mtu salama, Yajayo yanachekesha
 
Mkuu huyu mleta mada ni wakusikitikiwa sana,anachokilalamikia ndicho alichokifanya yeye kwenye hii mada yake!! na amefanya bila kung'amua hilo coz uwezo huo hana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom