Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Usijali mrembo, vipi hapo nyuma utanipa? Nataka kukuAmber Rutty
Wewe unayetetea mapunga ndio unatia mashaka,nadhani hiyo ndio kazi yako ndio maana imekukaa akilini,ungepita kimya tu kuliko kujidhihirisha jinsi ulivyo mweupe upstairs.
 
haha konk means ngangaripoa
1541584808-pic.jpeg
 
Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,

Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
Mkuu naona umefunga mjadala,big up.
 
Message sent and delivered
Jamii forum ni mtandao wa kijamii wenye muktadha wa kuweka hoja zinazojadilika kwa kuzingatia masharti vigezo na taratibu zake
Ni katika muktadha huo kuna watu wana hobbie na vipawa tofauti
. Kuna ambao hupendelea kuweka mada kwa jukwaa moja tu ndani ya majukwaa mengi ya forum
. Kuna wengine hupendelea kusoma tu bila kuchangia chochote
. Kuna wengine hupendelea kulike tu
. Kuna wengine hupendelea kuchangia mada mbalimbali
. Kuna wengine hupendelea kufanya vyote kwa pamoja
Hatulingani, hatufanani.... Inashangaza sana kama mtu atakuwa anaumia kuona kuna mtu anakuwa na uwezo na muda wa kuweka mada mpya kila wakati.... Inakuwa ni husuda ama ni wivu au ninini?
Mtu ambaye wala hamfamiani kabisa mmekutana mtandaoni kwenye mijadala na hoja mbalimbali, hufahamu hata maisha na vipaumbele vyake... Hajawahi kukuomba hata mia... Unaumizwa kumuona kila wakati ana post mpya kwa jambo fulani.... Hivi hapa mwenye shida ninani?
Forum iko wazi kwa yeyote kuandika chochote kulingana na jukwaa husika... Almradi tu havunji taratibu na kanuni zilizowekwa... Haina restrictions
Tatizo la wengi katika uchache wenu mnataka kuwapangia watu cha kufanya katika maisha yao ama kufanya nyie mtakavyo kwa mitazamo yenu... Huu unaitwa utapiamlo wa ufahamu....

The Book iko hivi nitaendelea kuweka mada hapa jukwaani kadiri nitakavyoona inafaa na kadiri nitavyopata mada za kuweka.... Habari za kusema najifanya najua kila kitu huo ni mtazamo wa washindwa wengi waliokosa uthubutu wa kujaribu kufanya kitu kwa kuhofia maoni ya wengine.... Sana sana watu kama nyie ndio huwa na kimuhemuhe cha kuchungulia kwenye new post kuona Mshana kaandika nini....
Hata hivyo kwa kutamatisha napenda kukushukuru kwakuwa follower mzuri wa mada zangu la sivyo usingefahamu kamwe kuwa kila wakati niko na kitu jipya ambacho hata hivyo kinakuvutia kuchangia...
JF ni sehemu ya wote wenye title za great thinkers... Si vema kupangiana cha kufanya.... Hakuna mtoto hapa...
 
Mshana Jr kiukweli hiyo post yako ya Juu hapo sijasoma.

Ndefu mno.

Unaweza kusamaraizi?
@the book sio lazima uisome sasa hivi ipo tu haifutiki... Isome kwa utulivu utakapopata muda... Au la unaweza pia kuipotezea kwakuwa sio sheria kuwa lazima uisome
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo

Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.

Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.

Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.

Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.

Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!

Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.

Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
A can see a modicum of truth in your argument mkuu.Sema, hapa inabidi pia ujiulize, huyo mtu yupo sawa kiakili? Maana unamzungumza kama vile umejiridhisha kuwa yupo 100% sawa.Ni vigumu kuthibitisha kama yupo sawa au la, ila ukimtazama anaonekana ni kajichokea , anatafuta njia rahisi-ngumu ya kutokea.

Bila ya kusema asemacho ni kweli au si kweli, kitendo alichofanya ni ukiukaji wa sheria.Hapa nchi za watu wangepata mahela ya kutosha hao washutumiwa.

Mimi ninadhani angejiunga na watoa taarifa wengine kwa kufanya taarifa kuwa siri, maana ni vigumu kuthibitisha jambo hili.Sijajua kupimwa kisheria ipoje, ni kwa amri ya mahakama au polisi na RC wanaamua tu kupima watu? Ili kupata sense ya suala hili, jenga picha mimi mfafiti77 nitamke hadharani kuwa members wote wa JF machoko, nipo tayari kwa lolote.Je, wahusika mtachukuliaje hili? Kama unaona si sawa, kwanini ushabikie kwa mwenzako?

Angalizo

Mimi sisapoti ushoga ila napinga namna huyo jamaa alivyofanya kwa wenzake.

Asante
 
[KQUOTE="Krait, post: 29101022, member: 80574"]Bibie mbona hivyo, au we ni Punga!!![/QUOTE]
Kaa pembeni wewe punguani huna unalochangia hapa zaidi ya kutafuta basha kwa kujipendekeza.
 
Kupayukapayuka imekuwa sifa ya wanaume wengi wa mjini.....pia kufuatilia maisha ya watu imekua ni moja ya mambo yanakua kwa kasi miongoni mwa vijana wa kiume....aibu sana .....ndiobmaana wale jamaa wa clouds wakaanzisha shilawadu na wafuatiliaji wengi ni wanaume including wew mleta uzi
 
Mshana nimepoteza ndugu zangu 3 ajali ya msata juzi coaster msaada wa kifkra maana ata kale katoto ka Shemeji yangu niliumia sana naomba msaada wa kuwatuliza kuwabembeliza wanafamilia maana
 
Mtoa Mada Nna Miaka Si Chini Ya 3 Huwa Nafuatilia Vitu Ambavyo Unapost, Ila Nimejifunza Vitu Kadhaa Kwako,

(i)Unatumia Nguvu Kubwa Kupangilia Maneno Ila Huna Maana Halisi "Content " Ni Butu

(ii)Nyuzi Zako Unaziandika Kuaminisha Umma Kuwa Ww Ni Mtaalamu Wa Kutambua Nafsi na Hta Haiba za Watu Kumbe UONGO! uliandikaga Upuuzi Kumsifia Mange Kimambi Mwezi April Kuhusu Maandamano Ila Kitu Ambacho Hukijui Kuhusu Mange Na Ambao Sisi Tunakijua Tukabaki Tunakuona Mpuuzi na Leo Unaandika Vitu Bure Kabisa
 
Kupayukapayuka imekuwa sifa ya wanaume wengi wa mjini.....pia kufuatilia maisha ya watu imekua ni moja ya mambo yanakua kwa kasi miongoni mwa vijana wa kiume....aibu sana .....ndiobmaana wale jamaa wa clouds wakaanzisha shilawadu na wafuatiliaji wengi ni wanaume including wew mleta uzi
Kama wewe so mmojawapo usingejua tote haya ma wala usingejihangaisha kuchangia huu uzi
 
Mtoa Mada Nna Miaka Si Chini Ya 3 Huwa Nafuatilia Vitu Ambavyo Unapost, Ila Nimejifunza Vitu Kadhaa Kwako,

(i)Unatumia Nguvu Kubwa Kupangilia Maneno Ila Huna Maana Halisi "Content " Ni Butu

(ii)Nyuzi Zako Unaziandika Kuaminisha Umma Kuwa Ww Ni Mtaalamu Wa Kutambua Nafsi na Hta Haiba za Watu Kumbe UONGO! uliandikaga Upuuzi Kumsifia Mange Kimambi Mwezi April Kuhusu Maandamano Ila Kitu Ambacho Hukijui Kuhusu Mange Na Ambao Sisi Tunakijua Tukabaki Tunakuona Mpuuzi na Leo Unaandika Vitu Bure Kabisa
Na bado unaendelea kufuatilia vitu vya kipuuzi for three good years? Na bado umevutiwa kuchangia hii mada? Nijuavyo mimi mtu anayefuatilia vitu vya kipuuzi naye ni mpuuzi tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom