Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,330
- 829,464
- Thread starter
- #321
Nimekumbana na tufani la upumbavu kwakuwa nilichoandika sio kinachojadiliwa na kushikiwa bango.... Na kwa bahati mbaya sana nawe ukaangukia huko... Pengine umefanya hivyo makusudi kwakuwa tunatofautiana mitizamo ya kisiasa... Kama umetumia sababu hii basi inasikitisha sana.. Sikutaka kukuweka kwenye kundi la wapuuzi ndio maana nikakujibu.... Kwangu mimi WAPUUZI hawajibiwi..!!!!Mshana Jr umekumbana na dhoruba ya MAMBAZ KONK KONKORD MASTER BLACK DIRTY OIL?



